News
-
VIONGOZI WA DINI WAANDAA MAOMBI YA AMANI BARINGO.
Viongozi wa baraza la madhehebu mbali mbali kwenye kaunti ya baringo kwa ushirikiano na wale wa kisiasa katika eneo bunge la baringo kusini wameandaa mkutano wa pamoja kwa ajili ya […]
-
WADAU KATIKA SEKTA YA ELIMU WATAKA USALAMA KUIMARISHWA KATIKA MASHULE ZA MIPAKANI
Wadau wa sekta ya elimu katika kaunti ya elgeiyo marakwet sasa wanaitaka serikali kuu kuwahakikishia usalama wao walimu wanaofunza kwenye shule zilizoko eneo la bonde la kerio.Katibu mkuu wa chama […]
-
SHULE YA UPILI YA WAVULANA YA ORTUM YANGAA KATIKA MTIHANI WA KITAIFA
Shule ya upili ya Ortum katika kaunti hii ya Pokot magharibi ni miongoni mwa shule ambazo zilikuwa zikifahamika zaidi kwa visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi ikiripoti visa […]
-
KAMPUNI YA KENYA POWER KAUNTI YA POKOT IMEAHIDI KUREKEBISHA VIZINGITI VYA STIMA KAUNTI NZIMA
Kampuni ya umeme Kenya power kaunti hii ya Pokot magharibi inakabiliwa na changamoto kuhusu vizingiti vya stima ambavyo havidumu kwa kipindi kinachotarajiwa kufuatia athari za mchwa.Kulingana na meneja wa kampuni […]
-
TAHADHARI YATOLEWA KWA UMMA DHIDI YA MATAPELI WANAOJIFANYA KUWA MAAFISA WA KENYA POWER.
Visa vya utapeli kwa kutumia jina la kampuni ya umeme ya Kenya power vimeripotiwa kukithiri katika kaunti hii ya Pokot magharibi cha hivi punde kikihusu shule ya upili ya wasichana […]
-
WALIMU WAKUMBATIA CBC LICHA YA KUONEKANA KUPINGA AWALI.
Licha ya kuonekana kupinga awali mtaala wa umilisi CBC ulipokuwa ukizinduliwa kwa mara ya kwanza nchini walimu sasa wamekumbatia mtaala huo.Kulingana na mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Asilong […]
-
OPARESHENI YA KUWAFURUSHA WAKAZI KATIKA MSITU WA MAKUNGA TRANS NZOIA YAANZISHWA.
Serikali imeanzisha oparesheni ya kuwahamisha wakazi ambao wameuvamia msitu wa makunga eneo bunge la Saboti kwenye kaunti ya Trans nzoia na ambako wanaendeleza shughuli za kilimo.Akizungumza baada ya kikao na […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WAKADIRIA HASARA KUFUATIA UVAMIZI WA VIWAVI JESHI.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi inaendelea kuweka mikakati ya kukabili kusambaa kwa viwavi jeshi ambao wameripotiwa kuvamia mashamba ya wakulima katika maeneo mbali mbali ya kaunti hii wakati […]
-
MWANGA WA TUMAINI KWA MWANAFUNZI AMBAYE NUSRA AKATIZE NDOTO YAKE.
Siku chache tu baada ya kituo hiki kuangazia masaibu yaliyomkabili mtahiniwa mmoja wa darasa la nane kutoka mtaa wa mawingo road viungani mwa mjini wa makutano Brian Kemboi ambaye alikuwa […]
-
WALIMU WATAKIWA KUTOWATUMA NYUMBANI WANAFUNZI KUFUATIA UKOSEFU WA
Mbunge wa kwanza katika kaunti ya Trans nzoia Ferdinand Wanyonyi ametilia mkazo agizo la waziri wa elimu Prof. George Magoha kwa wakuu wa shule nchini kutowatuma nyumbani wanafunzi kwa ajili […]
Top News










