Author: Charles Adika
-
UPOTOVU WA MAADILI MIONGONI MWA VIJANA
BUNGOMA Shutuma zinaendelea kutolewa kwa kisa ambapo vijana ishirini na mmoja walipatikana katika mkahawa mmoja mjini webuye wakijiburudisha kwa vileo licha ya kuwa na umri mdogo.Viongozi wa hivi punde ni […]
-
-
-
CHAMA CHA KNUT KAKAMEGA CHA SHUTUMU WIZARA YA ELIMU KWA UFUNGUZI WA SHULE MWAKA UJAO
KAKAMEGA Chama cha kitaifa cha walimu KNUT tawi la Kakamega kimeelezea kutoridhishwa na matayarisho ya kufungua shule mwakani kikihofia uwezekano wa ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona.Katika taarifa kwa […]
-
MGOMO WA WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAINGIA SIKU YA NNE
POKOT MAGHARIBI Mgomo wa wahudumu wa afya katika kaunty ya Pokot Magharibi sasa umeingia siku yake ya nne huku wahudumu hao wakitarajiwa kuwahutubia wanahabari.Madaktari hao wanalalamikia kutolipwa marupurupu, bima ya […]
-
SHILINGI HAMSINI YASABABISHA MAUTI
POKOT MAGHARIBI Vijana wawili mjini Makutano kwenye Kaunti ya Pokot Magharibi ambao wamekuwa wakifanya kazi ya kubeba mizigo wamefariki papo hapo baada ya kugombania shilingi hamsini.kulingana na walioshuhudia kisa hicho, […]
-
-
-
CHEMAKUTING’U
Paul Krop Ng’uriareng The premier Pokot show that brings & unite Pokot Nation together
-
Top News