Author: Charles Adika
-
-
-
-
JOEL ONGORO ATIMULIWA KAMA KIONGOZI WA WENGI KATIKA BUNGE LA KAUNTI YA KAKAMEGA
Jumla ya wawakilishi wadi 69 kati ya 89 wa bunge la kaunti ya Kakamega wamemtimua kiongozi wa wengi Joel Ongoro kutoka kwa wadifa huo kutokana na mzozo wa uongozi unaoshuhudiwa […]
-
GAVANA LONYANG’APUO ALAANI VIKALI KUFURUSHWA KWA WAKAAZI WA CHEPCHOINA
Gavana wa kaunti hii ya Pokot Magharibi John lonyangapuo ameshutumu mbinu iliyotumika kuwafurusha wakazi kutoka ardhi yenye utata ya Chepchoina mpakani pa kaunti hii ya Pokot Magharibi na ya Trans […]
-
CHANJO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA KUANZA KUTOLEWA HAPO KESHO KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Waziri wa afya kwenye kaunti hii ya Pokot Magharibi Jack Yaralima amesema kuwa dozi elfu 6 ya chanjo dhidi ya covid 19 tayari imewasili kwenye kaunti hii ya Pokot Magharibi […]
-
WAKULIMA KAUNTI YA UASIN GISHU WATAHADHARISHWA DHIDI YA KUNUNUA PEMBEJEO GHUSHI
Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago amesema kuwa serikali yake itafutilia mbali leseni za wafanyibiashara ambao watapatikana wakiuza bidhaa ghushi kwa wakulima kwenye kaunti hiyo na hatua kali […]
-
KANISA LASHAURIWA KUOMBEA VIONGOZI NA TAIFA HUKU UCHAGUZI MKUU UKIKARIBIA
Mshauri mkuu wa kisheria katika afisi ya Naibu wa Rais Dkt Abraham Singoei ametoa wito kwa kanisa kuendelea kuombea viongozi na taifa hili.Wito wake unajiri kufuatia matukio yalioshuhudiwa kwenye chaguzi […]
-
DKT KARANJA KIBICHO ASHTUMIWA KWA MADAI YA KUTUMIA MAMLAKA NA AFISI YAKE VIBAYA
Mbunge wa Saboti Caleb Hamisi amamshutumu katibu wa kudumu katika wizara ya usalama wa ndani Dkt Karanja Kibicho kwa kile ametaja kama kutumia mamlaka na afisi yake vibaya.Akihutubu eneo bunge […]
-
MBUNGE SAMUEL MOROTO AACHILIWA KWA DHAMANA
Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto amefikishwa katika mahakama kuu ya Kitale ambapo amekana mashataka dhidi yake ya kuwaongoza wenyeji kuharibu mali ya serikali.Akifikishwa mbele ya hakimu mkuu Makila S.N, Moroto […]
Top News