Author: Charles Adika
-
WANAOWABAKA WATOTO KUTOPEWA MSAMAHA WA RAIS
Aliyekuwa mwakilishi wadi mteule eneo la Endebes kaunti ya Trans nzoia Benedine Omondi anapendekeza watu wanaopatikana na makosa ya kuwabaka watoto wachanga kutopokea msamaha wa rais. Omondi amesema washukiwa wa […]
-
ONGEZEKO LA PEMBEJEO ZA KILIMO NA BEI YA MAFUTA LAZUA HOFU MIONGONI MWA WAKULIMA TRANS NZOIA
Kuendelea kupanda kwa bei ya pembejeo na kuongezwa kwa bei ya mafuta msimu huu wa upanzi huenda kukapelekea wakulima wengi kushindwa kumudu gharama ya kilimo, hivyo kuathiri pakubwa uzalishaji wa […]
-
WAKULIMA WATAKIWA KUWA WAANGALIFU DHIDI YA MBEGU GHUSHI
Wakulima kaunti hii ya Pokot Magharibi na taifa jirani la Uganda wametakiwa kuwa waangalifu msimu huu wa upanzi dhidi ya kununua mbegu ghushi ambazo zinauzwa na wafanyibiasha walaghai. Akizungumza na […]
-
PILKA PILKA
Ungana naye Angela Cherono pamoja na Marango Kizito Macho kwanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana
-
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAUNGA MKONO MASHARTI MAPYA YALIYOTANGAZWA NA RAIS KENYATTA
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wametetea masharti mapya ambayo yalitangazwa na rais uhuru kenyatta katika kukabili maambukizi zaidi ya virusi vya corona.Mbunge wa Sigor Peter Lochakapong […]
-
MBUNGE WA KACHELIBA MARK LUMNOKOL APIGIA DEBE CHAMA CHA UDA
Mbunge wa Kacheliba kaunti ya Pokot Magharibi Mark Lumnokol ameendelea kupigia debe chama cha UDA ambacho kinahusishwa na naibu rais William Ruto.Lumnokol amekariri kauli ya Ruto kuwa UDA na ODM […]
-
MKUTANO WA AMANI BARINGO WAENDELEA KUIBUA HISIA MIONGONI MWA VIONGOZI
Hisia mbali mbali zimeendelea kuibuliwa na viongozi kanda ya kaskazini mwa bonde la ufa kufuatia orodha iliyotolewa ya wamiliki wa silaha haramu kanda hii katika mkutano wa amani uliofanyika eneo […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUUNGA MKONO MPANGO WA UPATANISHI BBI
Seneta wa kaunti hii ya Pokot Magharibi Samwel Poghisio ameendelea kupigia debe mpango wa upatanishi BBI pamoja na mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020.Akizungumza katika mahojiano na wanahabari, […]
-
Top News