Author: Charles Adika
-
JAMII YATAKIWA KUZINGATIA MTOTO WA KIKE KATIKA ELIMU POKOT MAGHARIBI.
Mtoto wa kike kaunti hii ya Pokot magharibi anastahili kupewa kipau mbele na jamii hasa katika maswala ya elimu.Haya ni kwa kujibu wa afisa katika shirika la Yang’at Elizabeth Kukat […]
-
MTU MMOJA AULIWA KATIKA UVAMIZI CHESOGON.
Taharuki imetanda eneo la Lebei Chesogon mpakani pa kaunti hii ya pokot magharibi na Elgeyo marakwet baada ya mtu mmoja kuuliwa na mwingine kujeruhiwa vibaya usiku wa kuamkia leo baada […]
-
-
WAAJIRI WATAKIWA KUWATENGEA KINA MAMA WANAONYONYESHA NAFASI YA KUWANYONYOSHA WANAO.
Takwimu zinaonyesha kwamba 2/3 ya akina Mama wanaonyonyesha wanao wameajiriwa na serikali na katika sekta mbalimbali ya kibinafsi nchini, hivyo ipo haja ya hamasisho kwa waajiri na jamii kuwatengea akina […]
-
-
-
SERIKALI YA BARINGO YATAKIWA KUSAMBAZA CHAKULA KWA WAKAZI.
Wakazi katika eneo bunge la Baringo kaskazini sasa wanaitaka serikali ya kaunti ya Baringo kwa ushirikiano na ile ya kitaifa kuanzisha mpango wa kuwasambazia chakula cha msaada kwani wengi wanakabiliwa […]
-
BUNGE LA TRANS NZOIA LAAHIDI KUSHUGHULIKIA WAFANYIBIASHARA WALIOBOMOLEWA VIBANDA.
Wafanyibiashara walioathirika na ubomozi wa vibanda mjini Kitale katika kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kutayarisha malalamishi yao na kuyawasilisha katika bunge hilo.Ni wito wake spika wa bunge hilo Joshua Werunga […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAENDELEA KUPUUZA KUBUNIWA CHAMA KIPYA.
Siku chache tu baada ya mwakilishi wadi maalum Elijah Kasheusheu kushutumu mipango ya kubuniwa chama kipya katika kaunti hii ya Pokot magharibi, mipango ambayo hata hivyo ilithibitishwa na mbunge wa […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI KUNUFAIKA NA UTEUZI WA MOJA KWA MOJA KUJIUNGA CHUO CHA KMTC.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi itaendelea kushirikiana kikamilifu na chuo cha mafunzo ya utabibu cha kapenguria KMTC ili kuhakikisha kuwa wanafunzi katika chuo hicho wanapata mafunzo ya viwango […]
Top News