Author: Charles Adika
-
-
UCHUNGUZI WAANZISHWA KUHUSU KUTEKETEA BWENI LA SHULE YA ST. BRIDGIT’S KIMININI.
Kamishina wa kaunti ya Trans nzoia sam Ojwanga ameahidi kuimarisha usalama katika shule hasa za mabweni ili kukabili visa vya majengo kuteketea shuleni.Akizungumza muda mfupi tu baada ya bweni la […]
-
UHABA WA MIUNDO MSINGI WAKUMBA SHULE NYINGI POKOT MAGHARIBI.
Zoezi la kuwasajili wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza linapoendelea, wakuu wa shule mbali mbali wameendelea kulalamikia uhaba wa miundo msingi kukidhi idadi ya wanafunzi wanaojiunga na shule zao.Mwalimu mkuu […]
-
WAKAZI WATAKIWA KUKUMBATIA MATUMIZI YA CHOO POKOT KUSINI.
Wakazi wa eneo bunge la Pokot kusini kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia matumizi ya choo ili kuepuka magonjwa ambayo yanatokana na uchafu.Ni wito wake afisa wa jamii eneo […]
-
WAFANYIBIASHARA WATAKIWA KUIMARISHA USAFI MJINI MAKUTANO.
Wafanyibishara mjini makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kushirikiana na serikali ya kaunti katika kuhakikisha kuwa usafi unadumishwa maeneo yao ya kazi.Akizungumza baada ya kuongoza shughuli ya kusafisha […]
-
-
-
-
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YAANZA KUTEKELEZA MPANGO WA UHC.
Wizara ya Afya Kaunti ya Trans Nzoia imezindua mpango wa kuwasajili wenyeji 18,546 kwa njia ya kielectroniki watakaonufaika na mpango wa afya kwa wote, universal health care kwa ushirikiano na […]
Top News








