Author: Charles Adika
-
WAHUDUMU WA UCHUKUZI WA UMMA WACHANGAMKIA ASILIMIA 100 YA ABIRIA.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wananchi baada ya serikali kuruhusu asilimia 100 ya abiria katika sekta ya uchukuzi wa umma nchini.Wakiongozwa na meneja wa magari ya sacco ya Kitale- […]
-
WAZAZI WASIOWAPELEKA WANAO SHULENI WAONYWA.
Wazazi eneo la pokot ya kati katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuhakikisha kuwa wanao wanahudhuria masomo wakati huu ambapo shule zimefunguliwa kwa muhula wa kwanza huku waliofanya mtihani […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUTOTUMIA MIRADI YA SERIKALI KUJITAFUTIA UMAARUFU.
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameshutumiwa vikali kwa kutumia miradi mbali mbali kujitafutia umaarufu pamoja na kujipigia debe miongoni mwa wakazi mbele ya uchaguzi mkuu wa […]
-
-
-
-
-
ZIARA YA RAIS MAGHARIBI YA NCHI YAIBUA MATARAJIO MAKUU
Wakazi wa kaunti ya Trans nzoia wameelezea matumaini kuwa rais Uhuru Kenyatta atatenga muda wa kuzuru kaunti hiyo hata baada ya kuahirishwa ziara yake eneo la magharibi.Kulingana na mwenyekiti wa […]
-
WAHISANI ZAIDI WA SEKTA YA KILIMO WATAKIWA KUJITOKEZA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Waziri wa kilimo na mifugo katika kaunti hii ya Pokot magharibi Geofrey Lipale amewapongeza wahisani ambao wamejitokeza katika kaunti hii kupiga jeki juhudi za wakulima hasa kupitia shughuli ya kutoa […]
-
VIONGOZI WA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KUAFIKA MAENDELEO.
Wito umetolewa kwa viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuja pamoja na kushirikiana ili kuafikia maendeleo na kuimarisha uchumi wa kaunti hii.Ni wito wake mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto […]
Top News









