Author: Charles Adika
-
VIONGOZI KUTOKA BONDE LA KERIO WAMETAKIWA KUSHIRIKIANA KUKABILI UHALIFU.
Na Benson AswaniIpo haja kwa kaunti za Bonde la Kerio ikiwemo kaunti hii ya Pokot magharibi, Elgeyo marakawet na Baringo kushirikiana kwa pamoja katika vita dhidi ya uvamizi ambao umekuwa […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WAKOSOA ADHABU FINYU INAYOTOLEWA KWA WABAKAJI.
Na Benson AswaniViongozi wa kike Trans nzoia wametaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya wanaoendeleza visa vya ubakaji na utungwaji mimba wasichana eneo hilo wakilalamikia hatua ya kutolewa adhabu finyu kwao […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO.
Na Benson Aswani Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa makini katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao ili kufanya maamuzi ambayo yatakakuwa ya manufaa kwao.Ni wito wake spika […]
-
MFUMO WA BOTTOM UP WAPIGIWA UPATU BARINGO.
Na Benson AswaniViongozi katika kaunti ya Baringo wanazidi kupigia debe mfumo wa kuimarisha uchumi unaopendekezwa na naibu rais Dkt William Ruto wa bottom up ecomonic model.Kulingana mwaniaji wa ubunge kwenye […]
-
POLISI KATIKA KITUO CHA KONGELAI WAMULIKWA KWA KUWAHANGAISHA WAFANYIBIASHARA.
Na Benson AswaniWafanyibiashara katika soko la Kongelai kauti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia kuhangaishwa na maafisa wa polisi wa kituo cha Kongelai wanaowaitisha pesa kabla ya kuendelea na shughuli zao […]
-
HAZINA YA TAIFA YATAKIWA KUAHARAKISHA KUTOA FEDHA KWA IEBC.
Na Benson AswaniMbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ameitaka hazina ya taifa kuharakisha katika kutoa fedha kwa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC ili kuiwezesha kufanikisha shughuli ya usajili wa wapiga […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WASHUTUMU VISA VYA MIOTO SHULENI.
Na Benson AswaniViongozi kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kukashifu kukithiri visa vya kuteketezwa majengo ya shule ambavyo vimeonekana kukithiri katika siku za hivi karibuni nchini.Wakiongozwa na mwakilishi kina mama […]
Top News










