Author: Charles Adika
-
WAKAZI TRANS NZOIA WATAKIWA KUENEDELEA KUJITOKEZA KUSAJILIWA KUWA WAPIGA KURA.
Na Benson AswaniViongozi katika kaunti ya Trans nzoia sasa wanawataka wakazi wa kaunti hiyo ambao walikosa kusajiliwa kuwa wapiga kura katika zoezi la usajili wa wapiga kura wapya ambalo limekuwa […]
-
-
POKOT MAGHARIBI YASAJILI ASILIMI 33 YA WAPIGA KURA WAPYA.
Na Benson AswaniZoezi la usajili wa wapiga kura likiwa limekamilika kulingana na mipangilio ya tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kaunti hii ya Pokot magharibi ilikuwa imewasajili jumla ya […]
-
KENYA POWER YALAUMIWA KWA UTEPETEVU KACHELIBA.
Na Benson AswaniWakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia ukosefu wa nguvu za umeme eneo hilo kwa muda sasa.Wakiongozwa na Joseph Sarich wakazi hao […]
-
VIONGOZI KUTOKA KERIO VALLEY WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KUKABILI VISA VYA UVAMIZI.
Na Benson AswaniViongozi kutoka kaunti ambazo zimekuwa zikishuhudia wizi wa mifugo hasa eneo la Kerio valley wamehimizwa kuja pamoja na kupata suluhu ya kudumu.Gavana wa kaunti ya Elgeyo marakwet Alex […]
-
WANAFUNZI KUTOKA JAMII MASIKINI WANUFAIKA NA BASARI SABOTI, TRANS NZOIA.
Na Benson AswaniZaidi ya wanafunzi 200 kutoka eneo bunge la Saboti Kaunti ya Trans-Nzoia wamefaidi basari kupitia kwa hazina ya fedha za ustawishaji maeneo bunge (NGCDF) chini ya Mbunge Caleb […]
-
-
Top News







