Author: Charles Adika
-
-
-
-
WANDANI WA RUTO WAENDELEA KUPIGIA DEBE AJENDA YAKE YA MAENDELEO.
Na Benson AswaniWandani wa naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupigia debe mfumo wake wa kuimarisha uchumi Bottom up economic model.Wakiongozwa na mwakilishi wadi ya […]
-
JAMII YA SENGWER YALALAMIKIA KUTENGWA KATIKA UONGOZI.
Na Benson AswaniJamii Ndogo ya Segwer wanaoishi kwenye Kaunti za Pokot Magharibi na Trans-Nzoia sasa wanataka kifungu cha katiba cha 57 kinacholinda jamii ndogo kutekelezwa kikamilifu ili kulinda haki ya […]
-
WAKAZI POKOT KASKAZINI WATAKIWA KUKUMBATIA UPANZI WA MITI.
Na Benson AswaniWakazi eneo la pokot kaskazini kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia zoezi la upanzi wa miti ili kuafikia asilimia 10 ya misitu nchini.Akizungumza na kituo hiki afisa […]
-
SERIKALI YALENGA KUIMARISHA USALAMA KATIKA BONDE LA KERIO.
Na Benson AswaniSerikali inalenga kutuma vikosi maalum vya maafisa wa usalama katika eneo la bonde la kerio katika juhudi za kuimarisha oparesheni ya kusaka wezi wa mifugo.Mshirikishi wa utawala eneo […]
-
-
Top News









