Author: Charles Adika
-
WAKAZI WATAKIWA KUJITOKEZA KUJISAJILIWA KUWA WAPIGA KURA ZOEZI HILO LINAPOTAMATIKA.
Na Benson AswaniZoezi la kuwasajili wapiga kura wapya linapoendelea kufika tamati, viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kuwahamasisha wakazi hasa vijana kujitokeza kwa wingi kusajiliwa ili kuwa wapiga […]
-
KINA MAMA WATAKA KUPEWA FURSA YA KUONGOZA KATIKA NYADHIFA ZA SIASA.
Na Benson AswaniNi wakati kina mama pia wanastahili kupewa fursa ya uongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa mgombea kiti cha ubunge katika eneo bunge la […]
-
SIASA ZATAJWA KUCHANGIA KUTUPILIWA MBALI BBI.
Na Benson AswaniViongozi wa shirika la kidini la Women of faith kaunti hii ya Pokot magharibi wametaja siasa kuwa chanzo cha kutajwa mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia mpango wa […]
-
-
-
NDOA ZA MAPEMA NA UKEKETAJI WASALIA CHANGAMOTO KWA ELIMU YA MTOTO WA KIKE.
Na Benson AswaniSwala la mimba za mapema pamoja na ukeketaji kwa mtoto wa kike kaunti hii ya Pokot magharibi limesalia changamoto kuu kwa elimu ya mtoto wa kike licha ya […]
-
GAVANA LONYANGAPUO ATAKIWA KUWEKA WAZI MIRADI YA MAENDELEO ALIYOTEKELEZA.
Na Benson AswaniGavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo anapotarajiwa kugombea kiti hicho kwa muhula wa pili katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, shinikizo zimeendelea kutolewa kwake kuweka […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUSAMBAZA CHAKULA KATIKA SHULE KAUNTI YA BARINGO.
Na Benson AswaniKaunti ya Baringo ikiwa miongoni mwa kaunti 23 nchini zilizoathirika na ukame, baadhi ya viongozi kwenye kaunti hiyo sasa wanaitaka serikali kusambaza chakula shuleni kama njia ya kuhakikisha […]
-
-
Top News








