Author: Charles Adika
-
-
-
-
MOROTO AKANA KUKINZANA KIMAJUKUMU NA GAVANA LONYANGAPUO.
Na Benson AswaniMbunge wa Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amekanusha madai ya kuwepo mkinzano wa kimajukumu kati yake na gavana wa kaunti hii John Lonyangapuo hasa katika […]
-
NASOKOL YAZURU MAKAO YA WATOTO YA SUNFLOWER.
Na Benson AswaniShule ya wasichana ya Nasokol kaunti hii ya Pokot magharibi Kupitia klabu ya Charity wameyatembelea jana makao ya watoto ya Sunflower na kutoa msaada wa bidhaa za msingi […]
-
NATEMBEYA APATA PIGO TRANS NZOIA MIKONONI MWA UDA.
Na Benson AswaniZaidi wa wafuasi 500 waliokuwa wakimpigia debe mshirikishi wa bonde la Ufa George Natemebeya kugombea wa kiti cha ugavana Katika Kaunti ya Trans-Nzoia wamehamia mrengo wa Mshauri mkuu […]
-
MIPANGILIO ‘MIBAYA’ YA KALENDA YA MASOMO YATAJWA KUCHANGIA VISA VYA MIOTO SHULENI.
Na Benson AswaniKutokuwapo kwa muda wa kutosha wa wanafunzi kupumzika baina ya mihula ni moja ya sababu ambayo imepelekea kushuhudiwa kwa visa vya kuteketezwa mabweni kwenye shule mbali mbali nchini.Hayo […]
-
Top News







