Author: Charles Adika
-
WAZAZI WALAUMIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU MIONGONI MWA WANAFUNZI.
Na Benson AswaniHuku visa vya wanafunzi kuchoma shule vikizidi kushuhudiwa kote nchini viongozi wa kidini wamelaumu wazazi kutowapa wanao ushauri nasaha na mwongozo bora katika maisha mbali na kutohudhuria mafunzo […]
-
SHINIKIZO ZATOLEWA KWA MAGOHA KUJIUZULU.
Na Benson AswaniKufuatia ongezeko la visa vya mikasa ya moto shuleni mwakilishi wadi ya Bartabwa katika kaunti ya Baringo Ruben Chepsongol sasa anamtaka waziri wa elimu Prof George Magoha kujiuzulu […]
-
-
-
-
-
USAJILI WA PIGA KURA WAPYA WATAJWA KUWATENGA WANAOISHI NA ULEMAVU.
Na Benson AswaniWatu wanaoishi na ulemavu katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametengwa pakubwa katika shughuli nzima ya kusajiliwa wapiga kura wapya ambayo imekuwa ikiendelezwa na tume huru ya uchaguzi […]
-
MAGOHA ASHUTUMIWA KWA KUSEMA WAZAZI WATAGHARAMIA UHARABIFU SHULENI.
Na Benson AswaniWakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametofautiana vikali na kauli ya waziri wa elimu Prof. George Magoha kuwa serikali haitogharamia ujenzi wa majengo ya shule ambayo yanateketezwa […]
-
ONYO YATOLEWA KWA WANAOVURUGA MIKUTANO YA KISIASA TRANS NZOIA.
Na Benson AswaniMshirikishi wa serikali eneo la bonde la ufa George Natembeya ameonya vikali dhidi ya vijana kutumika kuvuruga mikutano inayoandaliwa na wagombea nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa […]
-
MIITO YA KUREJESHWA KIBOKO SHULENI YAENDELEA KUTOLEWA.
Na Benson AswaniViongozi katika kaunti ya Baringo sasa wanapendekeza kurejeshwa kwa adhabu ya viboko shuleni ili kukabili utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi ambao unatajwa kuwa moja ya sababu ya […]
Top News









