Author: Charles Adika
-
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWA MAKINI NA VYAMA WANAVYOUNGA MKONO.
Na Benson AswaniBaadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kusisitiza haja ya wakazi wa kaunti hii kuunga mkono vyama vya kitaifa ambavyo vitahakikisha wanakuwa serikalini na pia […]
-
WANAHARAKATI POKOT MAGHARIBI WAPINGA MAFUNZO KWA WALIMU KUHUSU CORONA.
Na Benson AswaniShughuli ya kuwafunza baadhi ya walimu kutoka shule mbali mbali kuhusu jinsi ya kukabiliana na visa vya maambukizi ya corona shuleni iwapo vitaripotiwa, inayoongozwa na shirika la CY […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WATAKIWA KUKUMBATIA MPANGO WA WAREHOUSE RECEIPT SYSTEM.
Na Benson AswaniWito umetolewa kwa wakulima Kaunti ya Trans Nzoia Kukumbatia Mpango wa serikali wa kuhifadhi nafaka katika maghala bodi ya nafaka na mazao nchini NCPB chini ya mpango wa […]
-
UGEMAJI POMBE WAIBUA WASIWASI KUHUSU HATIMA YA VIJANA BARINGO KASKAZINI.
Na Benson AswaniWasomi katika eneo bunge la Baringo kaskazini kwenye kaunti ya Baringo sasa wanawataka maafisa wa usalama kuanzisha msako mkali wa kuwakabili wagemaji na wauzaji wa pombe haramu.Wakiongizwa na […]
-
-
-
-
SHIRIKA LA CY KENYA LAENDELEZA MAFUNZO SHULENI KUHUSU COVID 19.
Na Benson AswaniShirika la CY Kenya kwa ushirikiano na wizara ya elimu linaendeleza mafunzo katika shule mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot Magharibi ya jinsi ya kukabiliana na visa […]
-
WADAU WA ELIMU POKOT MAGHARIBI WAKASHIFU VISA VYA KUTEKETEZWA MAJENGO YA SHULE.
Na Benson AswaniWadau katika sekta ya elimu katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelaani vikali utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi kufuatia visa vya kuteketezwa majengo ya shule ambavyo vimeendelea […]
Top News









