Author: Charles Adika
-
UKAME NA UKOSEFU WA USALAMA WAWAPA WASIWASI WAKAZI WA KACHELIBA.
Na Benson AswaniUkosefu wa lishe kwa mifugo umeendelea kuwaathiri mifugo katika Eneobunge la Kacheliba kaunti hii ya poko magharibi huku ukosefu wa amani baina ya jamii ya Pokot na Karamoja […]
-
WAHUDUMU WA BODA BODA WALALAMIKIA KUHANGAISHWA NA ASKARI WA KAUNTI MJINI MAKUTANO POKOT MAGHARIBI.
Na Benson AswaniBaadhi ya wahudumu wa boda boda katika kaunti hii ya Pokot magharibi wanalalamikia jinsi askari wa kaunti mjini makutano wanavyotekeleza majukumu yao.Wakiongozwa na Paul Lonapa wahudumu hao wamesema […]
-
MIGAWANYIKO YAENDELEA KATIKA CHAMA CHA ODM TRANS NZOIA.
Baadhi ya viongozi na wagombea wa viti mbali mbali kupitia chama cha ODM katika kaunti ya Trans nzoia wamemkashifu mbunge wa Saboti Caleb Amisi kwa kufeli kufanya kikao nao na […]
-
LONYANGAPUO ATAKA KUTUPILIWA MBALI SERA YA UHAMISHO WA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Na Benson AswaniGavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ametaka sera ya uhamisho wa walimu kutoka kaunti hii ya pokot magharibi hadi maeneo mengine ya nchi kutupiliwa mbali.Akizungumza […]
-
RAILA AAHIDI KUIMARISHA HALI POKOT MAGHARIBI AKICHAGULIWA RAIS.
Na Benson AswaniKinara wa chama cha ODM Raila Odinga amewahakikishia wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kuwa atashughulikia maswala yote ambayo yanawakumba iwapo atachaguliwa kuongoza taifa katika uchaguzi mkuu […]
-
POGHISIO APUUZILIA MBALI HATUA YA KUP KUJIUNGA NA ODM.
Na Benson AswaniSeneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amepuuzilia mbali hatua ya chama cha KUP kutangaza kujiunga na chama cha ODM wakati wa ziara ya azimio la […]
Top News









