Author: Charles Adika
-
LONYANGAPUO ATAKIWA KUTIMIZA AHADI YAKE KWA WAATHIRIWA WA MOTO KONGELAI.
Na Benson AswaniGavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ametakiwa kutimiza ahadi yake ya kuwasaidia wafanyibiashara katika soko la Kongelai eneo bunge la Kacheliba waliokadiria hasara kufuatia mkasa […]
-
WAKAZI WA RIWO WALALAMIKIA HUDUMA DUNI KATIKA KITUO CHA AFYA CHA CHEPTARANO.
Na Benson AswaniWakazi wa eneo la Naktobar katika wadi ya Riwo kaunti hii ya Pokot magharibi wameitaka serikali ya kaunti hii kushughulikia hali ya kituo cha afya cha Cheptarano.Wakazi hao […]
-
MIFUGO WALIOIBWA KERIO VALLEY WAREJESHWA.
Na Benson AswaniMifugo tisa kati ya hamsini walioibwa wamerejeshewa wenyewe katika eneo la kerio valley kaunti ya Elgeyo marakwetHayo ni kwa mjibu wa naibu kamishna wa Marakwet mashariki Simon Osumba […]
-
CHEMNO AKASHIFIWA KUDAI KUMILIKI ARDHI TRANS NZOIA.
Na Benson AswaniViongozi katika kaunti ya Trans nzoia wamekashifu vikali matamshi ya naibu gavana wa kaunti ya Uasin gishu Daniel Chemno dhidi ya wakazi wanaoishi katika ardhi moja eneo la […]
-
WAKAZI WALALAMIKIA HUDUMA DUNI KATIKA HOSPITALI YA KACHELIBA.
Na Benson AswaniWakazi wa eneo la Kongelai eneo bunge la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi wanalalamikia huduma duni katika hospitali ya Kacheliba.Wakiongozwa na Nelly Pusha wakazi hao wamesema […]
Top News







