News
-
SERIKALI YATAKIWA KUHAKIKISHA USALAMA ENEO LA SEKER POKOT MAGHARIBI.
Chifu wa seker eneo la Sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi Charles Chebushen ameelezea haja ya kupelekwa vitengo vya usalama eneo hilo ili kuhakikishia wakazi wa eneo hilo usalama […]
-
VIONGOZI WA KERIO VALLEY WAAHIDI KUSHIRIKIANA KATIKA KUIMARISHA USALAMA.
Mbunge wa Sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ameahidi kushirikiana na viongozi wengine waliochaguliwa katika kaunti hii kuhakikisha kuwa kunapatikana amani mipakani pa kaunti hii na kaunti […]
-
MAHAKAMA YA JUU YAANZA VIKAO VYA KUSIKILIZA KESI YA KUPINGA USHINDI WA RUTO.
Jopo la majaji 7 wa mahakama ya juu hatimaye limeanza vikao vyake vya kusikiliza rufaa kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais likiwa limeweka maswala 9 makuu kwenye rufaa hizo ambayo […]
-
MAGAVANA WAPYA WANZA RASMI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO.
Siku chache tu baada ya magavana 45 kula kiapo na kuahidi kufanyia wananchi kazi sasa magavana hao wameanza rasmi majukumu yao.Ikiwa ni siku ya kwanza kuingia ofisini tangu kuchaguliwa kwake […]
-
MRADI WA UNYUNYIZIAJI MAJI MASHAMBA WA PARASANY WAKAMILIKA.
Shirika la SEFA limekabidhi rasmi mradi wa unyunyiziaji maji mashamba wa parasanyi ambao umetelezwa chini ya mpango wa ustahimilivu kwa usimamizi wa serikali ya kaunti hii. Akizungumza katika hafla ya […]
-
VIJANA WAHIMIZWA KUKUMBATIA KOZI ZA UHANDISI.
Wito umetolewa kwa vijana wa kike kujitokeza kwa wingi na kusomea kozi za uhandisi na kupuuzilia mbali dhana ya kuwa baadhi ya taaluma na kazi ni za vijana wa kiume […]
-
KUP CHAIKARANGA UDA POKOT KUSINI NA KACHELIBA.
Hatimaye David Pkosing amehifadhi kiti chake katika Eneo bunge la Pokot Kusini kaunti hii ya Pokot magharibi baada ya kumpiku mpinzani wake wa Chama Cha UDA Simon Kalekem kwa kura […]
-
RAILA AENDELEA KUSUTWA KWA KUWASILISHA KESI YA KUPINGA USHINDI WA RUTO.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi hasa wanaoegemea mrengo wa rais mteule William Ruto wameendelea kumsuta kinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja […]
-
CHAGUZI ZILIZOAHIRISHWA MENEO MBALI MBALI NCHINI HATIMAYE ZAANDALIWA LEO.
Baada ya subira ya muda sasa wakazi wa eneo bunge la pokot kusini na kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi wanaungana na wakazi wa maeneo mengine nchini ambako chaguzi […]
-
HISIA ZA ENDELEA KUTOLEWA BAADA YA KUAPISHWA KWA GAVANA SIMON KACHAPIN KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Viongozi mbali mbali wa kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupongeza kuapishwa rasmi gavana wa kaunti hii Simon Kachapin kuanza tena kuhudumu kama gavana wa kaunti hii.Wakiongozwa na mbunge wa […]
Top News










