News

  • UHABA WA MUKOMBERO WAKUMBA MAGHARIBI YA NCHI.

    Uhaba wa mukombero unakumba eneo la Magharibi mwa Kenya na kuwalazimu wafanyabiashara kuvuka mpaka na kuingia taifa jirani la Uganda kusaka mmea huo. Wafanyabiashara wa mukombero sasa wanahofia kwamba katika […]

  • WAWAKILISHI WADI WAPYA KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAPOKEA MAFUNZO

    Bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi linatarajiwa kurejelea vikao vyake hapo kesho jumatano vikao ambavyo vinatarajiwa kutumika kuapishwa waakilishi wadi pamoja na kumchagua spika wa bunge hilo.Wakizungumza baada ya […]

  • WALEMAVU KAUNTI YA POKOT WATAKA HAKI KUTENDEKA

    Walemavu katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia jinsi ambavyo liliendeshwa zoezi la uteuzi miongoni mwa vyama vya kisiasa wakidai kutengwa katika uteuzi huo licha ya kutuma maombi.Wakiongozwa na mwenyekiti […]

  • BARAZA AWASHUTUMU WALIMU KUTUMIA CBC KULA KUKU ZA WAZAZI.

    Mbunge mwenye utata wa eneo bunge la Kimilili katika kaunti ya Bungoma Didmus Baraza amewasuta walimu katika kile amedai kutumia mtaala mpya wa elimu CBC kujinufaisha kutoka kwa wazazi.Akizungumza katika […]

  • VIONGOZI BARINGO WAENDELEA KUMWOMBOLEZA NAIBU GAVANA.

    Viongozi mbalimbali kwenye kaunti ya Baringo wameendelea kumwomboleza naibu gavana kaunti hiyo Charles Kipng’ok aliyefariki dunia jumatano jioni kwenye uwanja wa ndege wa jomo kenyatta jijini Nairobi. Wakiongozwa na aliyekuwa […]

  • ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA LAZIDISHA VILIO NCHINI.

    Hisia kali zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wananchi kufuatia hatua ya tume ya kudhibiti kawi EPRA kutangaza ongezeko la bei ya mafuta nchini.Wakiongozwa na meshack Yego wahudumu wa boda boda mjini […]

  • NAIBU GAVANA WA BARINGO AAGA DUNIA

    Naibu gavana wa kaunti ya Baringo Charles Kipngok amefariki dunia katika uwanja wa kimataifa wa ndege JKIA usiku wa kuamkia leo akiwa safarini kuelekea Mombasa kwa kutumia ndege ya shirika […]

  • CBC YAENDELEA KUWAKANGANYA WADAU WA ELIMU.

    Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wadau katika sekta ya elimu kuhusu utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC wakati rais William Ruto akiahidi kubuni kamati ya kutafuta maoni kuhusu […]

  • WAKAAZI WANAMTAKA RAIS WILIAM RUTO KUTEKELEZA YALE ALIYOAHIDI

    Wakaazi kutoka kaunti ya Trans nzoia wameendelea kusherehekea kuapishwa kwa Rais Wiliam Ruto wakimuomba kushughulikia changamoto zinazokumba haswa kupanda kwa Gharama ya Maisha.Wakaazi hao wameendeleza sherehe zao wakifurahia haswa baada […]

  • WAZAZI WAUNGA MKONO HATUA YA KUFANYIWA UKAGUZA MTAALA WA UMILISI CBC

    Chama cha kitaifa cha Wazazi katika kaunti ya Transnzoia kimeunga mkono mpango wa Rais Wiliam Ruto kuwashirikisha washikadau katika sekta ya Elimu kutathmini upya mtalaa wa umilisi cbc.Mwenyekiti wa chama […]