News
-
MAUAJI YA WATU 11 WAKIWEMO POLISI 8 TURKANA YAENDELEA KUKASHIFIWA.
Viongozi mbali mbali kutoka eneo la bonde la kerio wameendelea kukashifu mauaji ya watu 11 wakiwemo maafisa 8 wa usalama katika kaunti ya Turkana yaliyotekelezwa jumamosi na watu wanaoshukiwa kuwa […]
-
MWANAMME MMOJA AZUILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA KAPENGURIA KWA KUMUUA MKEWE.
Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 41 kutoka eneo Bunge la sigor kaunti hii ya Pokot magharibi anazuiliwa katika kituo cha polisi cha kapenguria akisubiriwa kufikishwa mahakamani baada ya kudaiwa […]
-
WAZIRI MAGOHA AZUA MDAHALO BAADA YA KUZUBAA KWENYE STEJI.
Waziri wa Elimu Pro. George Magoha alizua mjadala mtandaoni baada ya kuonekana amezubaa kwenye jukwaa wakati wa hafla ya mashindano ya muziki.Magoha ni mmoja wageni ambao walioalikwa kuhudhuria tamasha la […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUANZISHA OPARESHENI YA KUKABILI WIZI WA MIFUGO BONDE LA KERIO.
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Baringo wanaitaka serikali ya kitaifa kutangaza oparesheni ya kuwakabili majangili wanaoendeleza visa vya wizi wa mifugo na mauaji katika eneo la bonde la kerio.Wakiongozwa […]
-
WATU 11 WAKIWEMO POLISI WANANE WAUAWA TURKANA.
Hali ya Taharuki ingali imetanda katika eneo la Kamuge Turkana Mashariki, baada ya wezi wa mifugo kushambulia gari la polisi lililokuwa limebeba maafisa 8 wa usalama, Chifu wa Napeitom na […]
-
WAKULIMA WAFURAHIA MBOLEA YA BEI NAFUU TRANS NZOIA.
Wakulima Kutoka Kaunti ya Trans Nzoia wameelezea furaha yao kuhusu serikali kuu kutoa kwa mbolea ya bei nafuu ya shilingi 3500 kwa kila gunia ya kilo 50 ya mbolea.Wakihutubu mjini […]
-
MIKAKATI YA UJENZI WA BARABARA KUU YA KITALE –LOKICHAR YAENDELEZWA
Kampuni ya kutoa ushauri kuhusu ujenzi wa barabara kuu ya Kitale-morpus –Lokichar ya CGP Consulting Engineers inaendeleza vikao na wadau mbali mbali kupata maoni kuhusu mradi huo kabla ya kutekelezwa […]
-
SPIKA WA BUNGE WA POKOT MAGHARIBI AHIDI KUFANYA VYEMA KATIKA KULIONGOZA BUNGE
Spika wa bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi Fredrick Kaptui amesisitiza kujitolea kwake kuhakikisha kwamba wabunge katika bunge la tatu la kaunti hii wanafanya kazi kwa pamoja na kwa […]
-
GAVANA WA POKOT MAGHARIBI AMPONGEZA SPIKA WA POKOT BAADA YA KUCHAGULIWA.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amempongeza spika wa bunge la kaunti hii Fredrick Kaptui kwa kuchaguliwa kama spika wa tatu kuongoza bunge hilo akielezea imani yake […]
-
MWANAMKE AJILIPIA MAHARI KAKAMEGA.
Mwanamke mmoja kutoka kijiji cha shangazi kata ndogo ya marakusi kaunti ndogo ya lugari kaunti ya kakamega amewashangaza wakazi baada ya kuwafungua ng’ombe wawili wa mumewe zizini na kuwapeleka kwao […]
Top News










