News
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUENDELEA KUJITOKEZA KUPOKEA CHANJO DHIDI YA CORONA.
Serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi kupitia wizara ya Afya, idara ya chanjo na maambukizi iliandaa warsha ya siku moja na washikadau mbali mbali kubuni njia na mikakati ya kuwarai […]
-
WADAU WATAKIWA KUWASHAURI VIJANA DHIDI YA MATUMIZI YA MIHADARATI
Wito umetolewa kwa viongozi katika jamii hasa wale wa kidini kuchukua jukumu la kuwashauri vijana kama njia moja ya kukabili maovu yanayotokea hasaa visa vya mauaji au uhalifu kila kukicha.Akizungumza […]
-
UKEKETAJI WA WASALIA KIZUNGUMKUTI POKOT MAGHARIBI.
Visa vya ukeketaji vimesalia changamoto kuu katika kaunti nyingi za wafugaji hali ambayo mashirika ya haki za wanawake yametaja kuwa inatokana na ukosefu wa elimu miongoni mwa wakazi wengi wa […]
-
GAVANA KACHAPIN AKAGUA KIWANDA CHA KUCHINJA MIFUGO CHA NASUKUTA ENEO LA POKOT KUSINI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amewahakikishia wakazi wa kaunti hii kwamba kiwanda cha nyama cha Nasukuta kitaanza rasmi kuhudumu mapema mwaka ujao.Akizungumza baada kuzuru kiwanda hicho […]
-
MOSES WETANGULA ATEULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE LA KITAIFA
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Bungoma Moses Wetangula sasa ndiye spika wa bunge la kitaifa.Wetangula alitangazwa mshindi baada ya duru ya pili ya uchaguzi kukosa kufanyika kufuatia hatua ya Kenneth […]
-
KINYANG’ANYIRO CHA USPIKA CHASHIKA KASI POKOT MAGHARIBI
Kinyang’anyiro cha kumtafuta spika wa bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi kimeshika kasi huku wagombea 8 wakionyesha nia ya kuwania wadhifa huo.Miongoni mwa waliotangaza kuwania kiti hicho ni wakili […]
-
TODOSIA AAPA KUAFIKIA MATAKWA YA WANANCHI PUNDE BAADA YA KUAPISHWA.
Mwakilishi wadi mteule wa mnagei katika kaunti hii ya Pokot magharibi Richard Todosia amewapongeza wakenya kuwa kuendelea kudumisha amani kipindi chote cha uchaguzi hadi pale mahakama ya juu ilipodumisha ushindi […]
-
WAAKILISHI WADI TRANS NZOIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA GAVANA NATEMBEYA.
Viongozi wa kidni katika kaunti ya Trans nzoia wamewataka waakilishi wadi katika kaunti hiyo kushirikiana na gavana George Netembeya na kuhakikisha kuwa wanapitisha miswada muhimu ili kuiwezesha kaunti hiyo kuimarika […]
-
WAKUU WA SHULE WALALAMIKIA MAANDALIZI DUNI YA KUWAPOKEA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI DARAJA YA CHINI.
Baadhi ya wakuu wa shule katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia maandalizi duni ya kuwapokea wanafunzi wa shule za sekondari kiwango cha chini yani Junior sekondari katika mtaala mpya […]
-
RUTO AWATAJA WAPIGA KURA NA MWENYEKITI WA IEBC KUWA MASHUJAA WA UCHAGUZI.
Rais mteule William Ruto amemlimbikizia sifa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati, idara ya mahakama na wakenya wapiga kura kuwa mashujaa wa uchaguzi wa mwaka […]
Top News










