News
-
MWANAMME AFARIKI BAADA YA KUANGUKIWA NA UKUTA WA NYUMBA WADI YA KANAMKEMER KAUNTI YA TURKANA.
Mwanammwe mwenye umri wa makamo katika wadi ya Kanamkemer kaunti ya Turkana amethibitishwa kufariki baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba alipokuwa anaubomoa na mwenzake.Kulingana na walioshuhudia tukio hilo wamesema […]
-
MAAFISA WA KPLC MJINI MAKUTANO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WASHUTUMIWA NA WIZARA YA KAWI NCHINI.
Aliyekuwa gavana wa kwanza wa kaunti ya Pokot Magharibi ambaye kwa sasa ni katibu wa utawala katika wizara ya kawi Simon Kachapin ameshutumu maafisa wa KPLC mjini Makutano katika kaunti […]
-
MBUNGE WA KIMININI CHRIS WAMALWA APONGEZA RIPOTI YA BBI
Mbunge Wa Kiminini Katika Kaunty Ya Transnzoia Dkt ChrisWamalwa Ni Miongoni Mwa Viongozi Wa Hivi Punde Zaidi Kupongeza Mabadilikjo Yaliofanyiwa Ripoti Ya Mwisho Ya Bbi Akisema Imeboreshwa Kwa Asilimia Kubwa […]
-
MBUNGE SAMUEL MOROTO AITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KULIPA MADENI YOTE
Mbunge Wa Kapenguria Samuel Moroto Ameitaka Serikali Ya Kaunti Ya Pokot Magharibi Kuwalipa Watu Madeni Ambayo Yamekawia Kulipwa Kwa Zaidi Ya Mwaka Mmoja Sasa.Moroto Amesema Baadhi Ya Wakazi Wanaendelea Kuhangaikia […]
-
WAWAKILISHI WADI KUTOKA KAUNTI YA TRANS NZOIA WATAKA KINOTI KUSIMAMISHWA KAZI
Wawakilishi wadi wa bunge la kaunti ya Trans Nzoia wamemrai rais Uhuru Kenyatta kumfuta kazi mkurugenzi wa idara ya upelelezi DCI George Kinoti kufuatia tangazo lake kwamba analenga kuendelea kufuatilia […]
-
MGOMO WA MADAKTARI WAINGIA SIKU YAKE YA SITA
POKOT MAGHARIBI Mgomo wa madaktari katika kaunti ya Pokot Magharibi ambao uling’oa nanga siku ya ijumaa wiki iliyopita umeingia siku ya sita.Waziri wa afya kaunty ya Pokot Magharibi Jackson Yaralima […]
-
SOKO LA KISASA KUJENGWA ENEO BUNGE LA SABOTI
TRANS NZOIA Wenyeji wa wadi Tuwani eneo bunge la Saboti kaunti ya Trans-Nzoia wanatazamia kufaidi kupitia kwa ujenzi wa soko la kisasa kwa ushirikiano wa serikali kuu na serikali ya […]
-
WASHIKA DAU KATIKA WIZARA YA MIPANGILIO YA SERIKALI WAZURU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Washikadau katika wizara ya mipangilio ya serikali hiyo jana wamezuru kaunti ya Pokot Magharibi kwa lengo la kuangazia na kuweka wazi ripoti inayohusu maswala ya kiuchumi, democrasia, maendeleo ya jamii […]
-
VISA VYA MIMBA ZA MAPEMA VYAKITHIRI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Visa vya mimba za mapema miongoni mwa wasichana katika kaunti ya Pokot Magharibi vinazidi kuongezeka kila kuchao huku mashirika mbalimbali yakiingilia kati suala hilo zima katika kuwahimiza wazazi kukaa karibu […]
-
SHILINGI MIA SITA YASABABISHA MUME KUMUA MKEWE
KAKAMEGA Mwanamme mwenye umri wa miaka 60 anazuiliwa na maafisa wa polisi katika eneo bunge la Shinyalu kwenye kaunti ya Kakamega kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka […]
Top News