News
-
BBI KUWANUFAISHA WALIMU WANAOISHI NA ULEMAVU BUNGOMA
Walimu zaidi wa chekechea wenye ulemavu wataajiriwa baada ya mswada wa marekebisho ya katiba ya mwaka 2020 kupitishwa.Haya ni kulingana na serikali ya kaunti ya Bungoma.Akizungumza kwenye hafla ambayo aliongoza […]
-
WAKAAZI WA MARIDADI KAUNTI YA TRANS NZOIA WADAI BWENYENYE AMENYAKUA ARDHI YA UMMA YENYE EKARI 20
Wakaazi wa eneo la Maridadi kaunti ya Trans Nzoia wamejitokeza na kuirai serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na serikali ya kaunti hiyo kuingilia kati kuhusiana na madai ambayo yamekuwa yakiibuliwa […]
-
MADAKTRAI KAUNTI YA BUSIA WASHAURIWA KUTOSHIRIKI MGOMO AMBAO UNATARAJIWA KUANZA JUMATATU WIKI IJAYO
Gavana wa kaunti ya Busia Sospeter Ojamong amewarai madaktari kwenye kaunti yake kutoshiriki mgomo wa kitaifa mabao unatarajiwa kung’oa nanga siku ya jumatatu wiki ijayo huku akiwashauri washiriki mazungumzo kuhusiana […]
-
HALI DUNI YA SHULE YA SINOKO BAHATI
Wazazi katika shule ya Sinoko Bahati eneo la Cherangany katika kaunti Transzoia wametishia kutumia vyumba vyao kama madarasa hii ni baada ya shule hiyo kukukosa madarasa na yaliyomo yakiwa katika […]
-
UNYAKUZI WA ARDHI TRANSNZOIA
Wakazi wa kijiji cha maridadi kwenye kaunti ya Transnzoia wameiomba serikali kurejesha ardhi yenye ekari 20 wanayodai imenyakuliwa na bwenyenye mmoja katika kaunti hiyo. Wakazi hao wakiongozwa na Nabibia Richmond […]
-
WANANCHI WAVAMIA BOMA LA KASISI MOI’S BRIDGE KAUNTI YA KAKAMEGA
Wananchi waliokuwa na hamaki walivamia boma la kasisi mmoja aliyedaiwa kuwafungia ndani ya nyumba watoto watatu wa kike wa kati ya miaka sita na tisa mtawalia akiwemo mmoja mlemavu kwa […]
-
VIONGOZI WA KISIASA POKOT MAGHARIBI WARUSHIANA CHECHE ZA MANENO
Siku moja tu baada ya gavana na wabunge wa kaunti hii kuzindua ukusanyaji wa saini za BBI katika uwanja wa maonyesho wa Kishaunet ambapo wanadaiwa kumkashifu kiongozi wa wengi katika […]
-
GAVANA LONYANGAPUO AHUTUBIA WAKAAZI WA POKOT MAGHARIBI KUHUSIANA NA UTENDAKAZI WAKE
Gavana wa kaunti hii Prof. John Lonyangapuo amehutubia wakazi wa kaunti hii kuhusiana na utendakazi wake baada ya miaka mitatu iliyopita.Akizungumza baada ya hotuba yake bungeni katika kaunti hii ya […]
-
WAFANYIBIASHARA MJINI KITALE WAKADIRIA HASARA KUTOKANA NA BARABARA BOVU.
Wakaazi wa miji mikuu kaunti ya Trans Nzoia pamoja na wafanyibiashara wamelalamikia ubovu wa barabara wakisema kwamba inaathiri biashara zao.Wakizungumza na wanahabari wafanyibiashara hao wengi wao ambao wanafanyia shughuli zao […]
-
MWANAMME AFARIKI BAADA YA KUANGUKIWA NA UKUTA WA NYUMBA WADI YA KANAMKEMER KAUNTI YA TURKANA.
Mwanammwe mwenye umri wa makamo katika wadi ya Kanamkemer kaunti ya Turkana amethibitishwa kufariki baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba alipokuwa anaubomoa na mwenzake.Kulingana na walioshuhudia tukio hilo wamesema […]
Top News