News
-
MVULANA MWENYE UMRI WA MIAKA 15 ANYOFOLEWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI
POKOT MAGHARIBI Mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 15 katika kijiji cha Tamugh kwenye Eneobunge la Kapenguria anaendelea kuuguza jeraha baada ya sehemu yake ya siri kunyofolewa na ngariba mlevi.Kwa […]
-
BUNGE LA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUSHIRIKI KIKAO CHA DHARURA CHA KUJADILI BAJETI YA ZIADA YA MWAKA WA 2020/21
Bunge la kaunti ya Pokot Magharibi linatarajiwa kuandaa kikao spesheli cha dharura leo hii ili kuweza kujadili bajeti ya ziada ya kaunti hii ya mwaka wa 2020/2021Hata hivyo Kalya Radio […]
-
WAKENYA WAITAKA SERIKALI KUU NA ZILE ZA KAUNTI KUSITISHA SIASA ZA BBI NA KUSHUGHULIKIA WAHUDUMU WA AFYA
Wakenya wa tabaka mbalimbali wanazidi kutoa wito kwa serikali kuu na zile za Kaunti kushghulikia matakwa wa wahudumu wa afya ili waweze kurejea kazini na kusitisha mgomo wao ambao unaingia […]
-
GAVANA WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAHUDUMU WA AFYA HII LEO
Mkutano ulioratibiwa kufanyika hiyo jana wa Wahudumu Wa Afya kwenye kaunty hii ya Pokot Magharibi na haukufanyika unatarajiwa kurejelewa tena hii leo.Hiyo jana gavana wa kaunti hii ya Pokot Magharibi […]
-
WAZIRI WA BARABARA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI ATETEA UBOMOZI WA MADUKA MJINI MAKUTANO
Waziri wa bara bara kaunit hii ya Pokot Magharibi Augustine Monges amejitokeza na kukana madai ambayo yamekuwa yakiibuliwa kwamba hakuwa wametoa notisi kwa ubomozi wa maduka ambao ulifanyika wiki hii […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YATEKELEZA UBOMOZI MJINI MAKUTANO
Mwakilishiwadi maalum katika kaunti ya Pokot Magharibi Ozil Kasheusheu ameukashifu vikali ubomoaji wa maduka mjini Makutano bila kuwapa wafanyabiashara hao notisi mapema.Amemtaka gavana Prof. John Lonyangapuo kuelewana na wafanyabiashara hao […]
-
SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI CATHERINE MUKENYANG’ ASEMA HANA NIA YA KUMBANDUA MAMLAKANI GAVANA LONYANG’APUO
POKOT MAGHARIBI Spika wa bunge la kaunti hii ya Pokot Magharibi Catherine Mukenyang amesema kuwa hana nia yoyote ya kumbandua gavana wa kaunty hii ya Pokot Magharibi John Lonyangapuo.Kwenye mahojiano […]
-
BBI KUWANUFAISHA WALIMU WANAOISHI NA ULEMAVU BUNGOMA
Walimu zaidi wa chekechea wenye ulemavu wataajiriwa baada ya mswada wa marekebisho ya katiba ya mwaka 2020 kupitishwa.Haya ni kulingana na serikali ya kaunti ya Bungoma.Akizungumza kwenye hafla ambayo aliongoza […]
-
WAKAAZI WA MARIDADI KAUNTI YA TRANS NZOIA WADAI BWENYENYE AMENYAKUA ARDHI YA UMMA YENYE EKARI 20
Wakaazi wa eneo la Maridadi kaunti ya Trans Nzoia wamejitokeza na kuirai serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na serikali ya kaunti hiyo kuingilia kati kuhusiana na madai ambayo yamekuwa yakiibuliwa […]
-
MADAKTRAI KAUNTI YA BUSIA WASHAURIWA KUTOSHIRIKI MGOMO AMBAO UNATARAJIWA KUANZA JUMATATU WIKI IJAYO
Gavana wa kaunti ya Busia Sospeter Ojamong amewarai madaktari kwenye kaunti yake kutoshiriki mgomo wa kitaifa mabao unatarajiwa kung’oa nanga siku ya jumatatu wiki ijayo huku akiwashauri washiriki mazungumzo kuhusiana […]
Top News