News
-
WAKULIMA WA NYANYA KAUNTI YA TRANS NZOIA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA VYAMA VYA USHIRIKA
Wito umetolewa kwa wakulima wa nyanya kaunti ya Trans-nzoia kujiunga katika ushirika ili kuzungumza kwa sauti moja na kupigania bei bora kwa wakulima wanaokuza zazo hilo katika kaunti hiyo. Akihutubu […]
-
MIKUTANO YA AMANI YAENDELEZWA KAUNTI YA BARINGO LICHA YA UGUMU WA KUWAPATA WAKAZI
Viongozi kutoka kanda ya kaskazini mwa bonde la ufa wanaendeleza misururu ya mikutano katika kaunti ya Baringo katika juhudi za kuhakikisha usalama unaimarishwa kwenye kaunti hiyo.Hii ni baada ya serikali […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASHUTUMIWA KWA KUTELEKEZA HOSPITALI YA KAPENGURIA
Idara za uchunguzi ikiwemo tume ya maadili na kukabili ufisadi EACC na idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai DCI zimetakiwa kuingilia katika kuchunguza matumizi ya fedha ambazo zinatengewa idara […]
-
VIONGOZI WA SIASA WALAUMIWA KWA KUKITHIRI VIWANGO VYA CORONA NCHINI
Viongozi wa siasa ndio wa kulaumiwa kwa ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona nchini. Haya ni kwa mujibu wa viongozi wa kidini nchini ambao wamesema ni kinaya kwa serikali […]
-
WAZEE TRANS NZOIA WATAKA CHANJO YA CORONA KUTOLEWA MAENEO YA MASHINANI
Wazee katika kaunti ya Trans nzoia wametoa wito kwa wizara ya afya kuhakikisha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inatolewa katika maeneo ya mashinani ili kuepuka umma ambapo huenda […]
-
WAKULIMA KAUNTI YA TRANS NZOIA WALALAMIKIA KUPANDA GHARAMA YA KILIMO
Viongozi kaunti ya Trans-nzoia wanamtaka waziri wa kilimo Peter Munya na kamati ya kushughulikia maswala ya kilimo katika bunge la kitaifa kuingilia kati na kuwanusuru wakulima kutokana na kupanda maradufu […]
-
MWANAMKE ABAKWA NA KUULIWA MTAANI MATHARE MAKUTANO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Mwanamke mmoja mama ya mtoto mmoja ameaga dunia baada ya kubakwa usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Mathare viungani mwa mji wa Makutano kaunti hii ya Pokot Magharibi.Ni kisa […]
-
WANACHAMA WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA METROPOLITAN KAUNTI YA BUNGOMA WATISHIA KUJIONDOA
Walimu wanachama wa chama cha ushirika cha metropolitan katika kaunti ya Bungoma wametishia kujiondoa katika chama hicho kufuatia madai ya kunyanyaswa na kupewa viwango vya chini vya riba licha ya […]
-
WANAOWABAKA WATOTO KUTOPEWA MSAMAHA WA RAIS
Aliyekuwa mwakilishi wadi mteule eneo la Endebes kaunti ya Trans nzoia Benedine Omondi anapendekeza watu wanaopatikana na makosa ya kuwabaka watoto wachanga kutopokea msamaha wa rais. Omondi amesema washukiwa wa […]
-
ONGEZEKO LA PEMBEJEO ZA KILIMO NA BEI YA MAFUTA LAZUA HOFU MIONGONI MWA WAKULIMA TRANS NZOIA
Kuendelea kupanda kwa bei ya pembejeo na kuongezwa kwa bei ya mafuta msimu huu wa upanzi huenda kukapelekea wakulima wengi kushindwa kumudu gharama ya kilimo, hivyo kuathiri pakubwa uzalishaji wa […]
Top News