News
-
JAMII YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NI JAMII SALAMA
Dunia inafaa kubadili mtazamo wao kuhusu kaunti hii ya pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa mwakilishi kina mama kaunti Hii Lilian Tomitom ambaye amesema kuwa ni watu wachache tu ambao […]
-
WAKUU WA USALAMA KAUNTI YA NAKURU KUWAKABILI WALE AMBAO WANAKIUKA MASHARTI YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA
Wakuu wa usalama kaunti ya Nakuru wameapa kuendeleza msako wa watu wanaokiuka masharti yaliyowekwa na serikali ili kukabili msambao wa virusi vya korona.Naibu kamishna eneo la Nakuru mashariki Erick Wanyonyi […]
-
UPANZI WA MITI KATIKATI YA MJI WA KITALE WAZINDULIWA
Shirika moja la Kimazingira Kaunti ya Trans-Nzoia kwa jina kipsaina cranes and wetlands conservation Group wakishirikiana na vijana wa kazi mtaani wamezindua kampeni ya upanzi wa miti katikati mwa mji […]
-
POKOT MAGHARIBI YATAJWA MIONGONI MWA KAUNTI ZILIZOSAJILI WANAFUNZI WA UMRI MDOGO WALIOFANYA MTIHANI WA KCPE
Kaunti ya Pokot magharibi imekuwa miongoni mwa kaunti tano ambazo ziliwasajili wanafunzi wa KCPE wenye umri wa chini ya miaka kumi na miwili na kuwa na idadi ya watahiniwa mia […]
-
SHULE YA ST MARYS YATOA MWANAFUNZI BORA WA KCPE KUFIKIA SASA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Walimu wazazi na wanafunzi wa shule mbali mbali kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kusherehekea matokeo bora ya mtihani wa kitaifa kwa darasa la nane KCPE yaliyotangazwa rasmi hiyo jana […]
-
TRANS NZOIA YANUFAIKA NA UFADHILI CHINI YA MPANGO WA GEAP.
Kaunti Trans-nzoia ni miongoni mwa kaunti 12 zitakazo faidi ufadhili wa kifedha wa kima cha zaidi ya shilingi bilioni 1.2 kutoka kwa serikali ya Denmark chini ya mradi wa Green […]
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YASHUTUMIWA KWA KUWATELEKEZA WAHUDUMU WA AFYA
Mwenyekiti wa wafanyakazi kaunti ya Trans-nzoia Samuel Kiboi ameshutumu vikali serikali ya kaunti hiyo kupitia wizara ya afya kwa kile ametaja kukosa kuwalipa marupurupu ya kufanyia kazi katika mazingira magumu […]
-
WAATHIRIWA WA KIFUA KIKUU WATAKIWA KUFANYA VIPIMO VYA KILA MARA.
Wito umetolewa kwa wakenya kufanya mazoea kufika katika vituo vya afya ili kupimwa kutokana na ugonjwa wa kifua kikuu.Ni wito ambao umetolewa na mtaalam wa magonjwa ya mapafu katika hospitali […]
-
NRT YAPEWA IDHINI YA KUNDELEZA SHUGHULI ZAKE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Wakfu wa umiliki wa wanyamapori NRT utaendelea na shughuli zake mbali mbali katika maeneo mbali mbali ya kaunti hii ya Pokot magharibi baada ya uamuzi wa mahakama kuwapa idhini hiyo […]
-
VIONGOZI WA MAKANISA TRANS NZOIA WALALAMIKIA KUPUNGUA MATOLEO KANISANI
Viongozi wa makanisa yaliyobomolewa kwenya kipande cha ardhi kinachomnilikiwa na shirika la reli mjini Kitale kaunti ya Trans nzoia sasa wanasema wanapitia wakati mgumu baada ya kupungua matoleo kanisani.Wakiongozwa na […]
Top News