News
-
SERIKALI YATAKIWA KUZIDISHA OPARESHENI YA KIUSALAMA MUKUTANI, BARINGO
Wakazi wa eneo la Mukutani, eneo bunge la baringo kusini kaunti ya baringo wanaitaka serikali kuharakisha oparesheni ya kutwaa silaha haramu na kuwakabili wezi wa mifugo.Mmoja wa wakazi eneo hilo […]
-
MOROTO APONGEZWA KWA UJENZI WA BARABARA ENEO BUNGE LA KAPENGURIA
Mwenyekiti wa mamlaka ya barabara za maeneo ya mashinani KERA eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Andrew Kodokwang amepongeza kujengwa barabara ya kutoka Limang’ole kupitia Cheptarama hadi […]
-
WAKAZI WA SIGOR WALALAMIKIA KUHANGAISHWA NA MAAFISA WA POLISI
Wakazi wa eneo la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi hasa wafanyibiashara wamelalamikia kuhangaishwa na maafisa wa polisi wanaodai kuwaitisha hongo hasa siku za soko.Wakiongozwa na aliyekuwa diwani wa wadi […]
-
KFS YASHUTUMIWA KWA UKANDAMIZAJI SABOTI, TRANS NOZIA
Wakazi wa eneo bunge la saboti kaunti ya Trans nzoia wamelalamikia kukandamizwa na uongozi wa shirika la uhifadhi misitu KFS.Wakiongozwa na Luke Naibei wakazi hao wamesema baadhi ya maafisa wa […]
-
JLAC YATAKIWA KUELEZA KUHUSU MISWADA MIWILI TOFAUTI YA BBI
Mbunge wa kiminini kaunti ya Trans nzoia Dkt Chris Wamalwa ametoa wito kwa kamati ya haki na sheria kujitokeza wazi na kuwaeleza wakenya kilichosababisha mikanganyiko katika miswada iliyowasilishwa mbele ya […]
-
ZAIDI YA WATU ALFU 3 WACHANJWA DHIDI YA CORONA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Jumla ya watu alfu 3,269 wamepokea chanjo dhidi ya virusi vya corona kufikia sasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa waziri wa afya katika kaunti hii […]
-
MSWADA WA MAREKEBISHO YA KATIBA WAENDELEA KUKOSOLEWA
Hisia mseto zimeendelea kutolewa na viongozi mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuhusu hatma ya mswada wa marekebisho ya katiba BBI, wa hivi punde kuzungumzia hilo akiwa mbunge […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAPANIA KUANZA AWAMU YA PILI YA CHANJO YA MIFUGO
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia wizara ya kilimo inapania kurejelea shughuli ya kuchanja ng’ombe katika taifa la Uganda hasa maeneo ambako wafugaji kutoka jamii ya Pokot wanaishi.Waziri […]
-
MGOGORO WATISHIA KUATHIRI UTHABITI WA CHAMA CHA FORD KENYA
Pana haja ya uongozi wa chama Ford kenya kuondoa kesi mahakamani dhidi ya mrengo wa mbunge wa tongaren Dkt Eseli Simiyu na kuruhusu uchaguzi wa mashinani kufanyika kabla ya mkutano […]
-
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUHIFADHI VYANZO VYA MAJI TRANS NZOIA
Siku ya ardhi duniani world earth day ikiadhimishwa leo,ipo haja ya kuimarisha juhudi za kukabili uharibifu wa vyanzo vya maji na chemichemi kama njia moja ya kuhifadhi na kuzuia kupotea […]
Top News