News
-
WAZAZI WALAUMIWA KWA KUWATELEKEZA WANAO BUNGOMA.
Wazazi katika kaunti ya Bungoma wamelaumiwa kwa kufeli katika majukumu ya kuwatunza na kuwapa ushauri wanao jambo ambalo lilichangia idadi kubwa ya wanafunzi kuufanya mtihani wa kcse mwaka 2020 kaunti […]
-
WADAU WA USALAMA WATAKIWA KUIMARISHA VITA DHIDI YA MIMBA ZA MAPEMA TRANS NZOIA.
Zaidi ya wanafunzi alfu 1, 120 katika kaunti ya Trans nzoia wamepachikwa mimba tangu kuripotiwa nchini kisa cha kwanza cha virusi vya corona tarehe 15 mwezi machi mwaka jana.Haya ni […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA MWAKILISHI WADI YA KASEI.
Viongozi mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kutoa rambi rambi zao kufuatia kifo cha aliyekuwa mwakilishi wadi ya kasei kuanzia mwaka 2013 hadi mwaka 2017 Samson Long’arkaye.Wakiongozwa […]
-
WADAU WATAKIWA KUBORESHA MIUNDO MSINGI KATIKA SHULE ZA KAMKETO.
Wadau katika sekta ya elimu kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuisaidia shule ya upili ya wavulana ya Kamketo pamoja na ile ya wasichana hasa upande wa miundo msingi ili […]
-
MPANGO WA KUJENGWA KAMBI YA KDF ENEO LA TIATI WAENDELEA KUIBUA HISIA.
Viongozi eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo wanazidi kutoa kauli zao kuhusu pendekezo la serikali la kutaka kutengwa kipande cha ardhi eneo bunge hilo ili kuwezesha mpango wa kujengwa […]
-
SERIKALI YAAHIDI KUWEKA MIKAKATI YA KUWALINDA WAATHIRIWA WA DHULUMA ZA KIJINSIA.
Waathiriwa wengi wa dhuluma za jinsia hasa watoto wanakosa kuripoti visa hivyo kutokana na hofu ya kukabiliwa na washukiwa. Akizungumza mjini Kitale kaunti ya Trans nzoia, katibu mwandamizi katika wizara […]
-
WALIMU WATAKIWA KUWA NA SUBIRA KUHUSU MASWALA YA KARO.
Aliyekuwa mshauri wa maswala ya siasa wa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Stephen Kolemuk ameshutumu hatua ya kutumwa nyumbani wanafunzi kutafuta karo juma moja tu baada ya kufunguliwa […]
-
SERIKALI YA UINGEREZA YAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya uingereza kupitia serikali kuu, ina fahari kushirikiana na serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi katika kuhakikisha kuwa maendeleo yanaafikiwa kwa manufaa ya mwananchi. Akizungumza mjini makutano katika […]
-
MBUNGE WA KIMILILI AANDIKISHA TAARIFA BAADA YA KUVAMIWA NA MKAZI.
Mbunge wa Kimilili katika kaunti ya Bungoma Didmus Baraza ameandikisha taarifa katika kituo cha polisi cha Kimilili kufuatia tukio ambapo alivamiwa na mkazi mmoja katika hafla ya mazishi na kumpokonya […]
-
WADAU KATIKA SEKTA YA ELIMU ENEO LA SWAM WAPONGEZWA KWA MATOKEO BORA.
Wadau katika sekta ya elimu eneo la Swam kaunti ya Pokot magharibi wamepongezwa kwa juhudi ambazo zilipelekea shule za eneo hilo kufanya vyema katika mtihani wa KCSE ambao matokeo yake […]
Top News