News
-
KANISA LA FULL GOSPEL LAJITENGA NA MAMA ALIYEJIFANYIA HARUSI CHELANG’A.
Siku chache tu baada ya mama mmoja kutoka eneo la Kalorema kujifanyia harusi mwenyewe katika bustani ya Chelang’a mjini Makutano kwa madai aliagizwa kufanya hivyo na mwenyezi Mungu, kanisa la […]
-
MBUNGE WA SIRISIA NA MWAKILISHI WADI YA LWANDANYI WATAKIWA KUSULUHISHA TOFAUTI ZAO.
Mbunge wa Siria katika kaunti ya Bungoma John Waluke na mwakilishi wadi ya Lwandanyi Tony Baraza wametakiwa kuzika tofauti zao za kisiasa na kutekeleza maendeleo.Wakizungumza mjini Lwandanyi wakiongozwa na Mourice […]
-
WAFANYIBIASHARA KONGELAI WALALAMIKIA HALI MBOVU YA SOKO HILO.
Wafanyibiashara katika soko la Kongelai eneo la Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali mbovu ya soko hilo huku wakitoa wito kwa serikali ya kaunti hii kuboresha hali ya […]
-
MIMBA ZA MAPEMA ZIMESALIA CHANGAMOTO POKOT MAGHARIBI.
Swala la mimba za mapemamiongoni mwa wanafunzi limesalia changamoto katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kulingana na mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wasichana ya St Bakhita Grace […]
-
NG’OLESIA AKANA MADAI KUWA ATAGOMBEA KITI CHA UBUNGE SIGOR.
Mwakilishi wadi ya Seker kaunti hii ya Pokot magharibi Thomus Ng’olesia amekana madai kuwa ananuia kugombea kiti cha ubunge katika eneo bunge la Sigor kwenye uchaguzi mkuu ujao.Akizungumza na kituo […]
-
SERIKALI YASHUTUMIWA KWA KUWAFURUSHA WAKAZI KATIKA ARDHI YA CHEPCHOINA.
Baadhi ya wakazi katika ardhi yenye utata ya Chepchoina katika mpaka wa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti ya Trans nzoia waliofurushwa katika ardhi hiyo wameendelea kulalamikia masaibu wanayopitia […]
-
WAKAZI KATIKOMOR WALALAMIKIA KUTELEKEZWA KWA MASWALA YA MAENDELEO
Wakazi wa eneo la Katikomor kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia kutelekezwa eneo hilo kwa maswala ya maendeleo hasa miundo mbinu katika shule za eneo hilo.Wakiongozwa na Cyrus Katikomor wakazi […]
-
WAAKILISHI WADI BUNGOMA WATAKIWA KUSITISHA MIPANGO YA KUMBANDUA GAVANA WANGAMATI
Viongozi wa dini katika kaunti ya Bungoma wametoa wito kwa waakilishi wadi katika kaunti hiyo kufanya mazungumzo na gavana wao Wyclife Wangamati ili kutatua uhasama uliopo kuhusu mchakato wa kuataka […]
-
WAKAZI MAKUTANO WAACHWA VINYWA WAZI HUKU MKAZI MMOJA AKIFANYA HARUSI NA ‘MUNGU’
Wakazi mjini makutano kaunti hii ya Pokot magharibi waliachwa na mshangao baada ya mama mmoja kutoka eneo la Kalorema kujifanyia harusi mwenyewe katika bustani ya Chelang’a mjini Makutano kwa madai […]
-
SHULE YA TABADAN ACADEMY YASIFIWA KWA KUWAHUDUMIA WAATHIRIWA WA DHULUMA ZA JINSIA
Wazazi wametakiwa kutowaondoa wanao katika shule ya msingi ya Tabadan academy iliyoko eneo la Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi na badala yake kuhakikisha wanafunzi zaidi wanajiunga na shule hiyo. […]
Top News