News
-
HATUA YA SERIKALI KUFUNGA MAENEO YA IBADA KATIKA KAUNTI 13 YAENDELEA KUKASHIFIWA VIKALI
Hatua ya serikali kufunga kaunti 13 za eneo la Magharibi, Nyanza na Bonde la ufa kutokana na idadi ya maambukizi ya virusi vya corona imeendelea kukashifiwa vikali.Viongozi wa kidini kaunti […]
-
WANAFUNZI WALIOACHIA DARASA LA NANE KUENDELEA NA MASOMO YAO KATIKA CHUO CHA KIUFUNDI CHA KITALAKAPEL
Chuo cha kiufundi cha Kitalakapel katika kaunti hii ya Pokot Magharibi kimeanzisha kozi kwa ajili ya wanafunzi ambao waliachia masomo yao katika darasa la nane.Akizungumza siku moja tu baada ya […]
-
IDARA ZA USAJILI KACHELIBA ZASHUTUMIWA KWA KUWAHANGAISHA WAKAZI.
Mkazi mmoja kutoka Eneo la Kacheliba kaunti hii ya pokot magharibi anatoa wito wa kuingiliwa kati idara husika kwa kile amedai kuhangaishwa na ofisi za chifu na ya usajili vyeti […]
-
CHIFU WA SONGOK ADAI KUWINDWA NA SHIRIKA LA NRT.
Mzozo kati ya wakazi wa kaunti ya Pokot Magharibi na shirika na NRT[Northern Rangelands Trust ] umechukua mkondo mpya huku chifu mmoja wa eneo hilo akidai kuwa maisha yake yamo […]
-
KIPTIS APONGEZWA KWA KUFANYIA MAGEUZI WIZARA MBALI MBALI KAUNTI YA BARINGO.
Gavana kaunti ya Baringo Stanley Kiptis anaendelea kupongezwa kutokana na mageuzi aliyofanya katika wizara mbali mbali ambapo maafisa wakuu wa wizara hizo walipewa uhamisho.Kwenye kikao na wanahabari mjini Kabarnet mwakilishi […]
-
WANGAMATI AFIKA MBELE YA SENETI BAADA YA KUSUSIA MIALIKO KADHAA.
Baada ya gavana wa kaunti ya Bungoma Wycliffe Wangamati kukosa kufika mara ya mwisho alipoalikwa na seneti, sasa gavana huyo amefika mbele ya kamati ya seneti kuhusu afya ili kujibu […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUFANYA JUHUDI ZAIDI KUMSHUGHULIKIA MTOTO WA KIAFRIKA.
Ni wakati wazazi katika kaunti hii ya pokot magharibi wanastahili kuamka na kujiunga na maeneo mengine pamoja na mataifa ya bara zima la afrika katika kuchangia juhudi za kuhakikisha mtoto […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WATAHADHARISHWA KUFUATIA UCHACHE WA MVUA.
Wakulima katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wameshauriwa kuchukua tahadhari kutokana na ukosefu wa mvua kwa takriban miezi mitatau sasa.Waziri wa kilimo na mifugo katika kaunti hii ya Pokot Magharibi […]
-
WAKAZI WAHIMIZWA KUJISAJILI ILI KUPOKEA NETI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kujisali ili kuwa katika nafasi bora ya kupokea neti katika zoezi la kugawa neti hizo linalotarajiwa kuendelezwa na maafisa wa idara ya […]
-
WANASIASA TRANS NZOIA WAONYWA DHIDI YA KUENDELEZA SIASA ZA CHUKI.
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 unapokaribia, wito umetolewa kwa wanasiasa katika kaunti ya Trans nzoia kuendeleza siasa za amani na kutosababisha kupanda joto la siasa nchini.Aliyekuwa seneta wa kaunti hiyo […]
Top News