MTU MMOJA AULIWA KATIKA MAKABILIANO NA POLISI MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.


Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kutokea makabiliano ya risasi Kati ya watu wa jamii zinazoishi kwenye mpaka wa marakwet na Pokot upande wa Baringo.
Mtu mwingine mmoja anauguza majeraha mabaya ya risasi kutokana na makabiliano hayo ya risasi yaliyotokea kati ya jamii za pokot na marakwet kwenye mpaka wa kaunti za Elgeyo marakwet na Baringo upande wa Tiati.
Makabiliano hayo yametokea eneo la Kabetwa kwenye mpaka wa kaunti za Elgeyo marakwet na Baringo.