News
-
SEKTA YA BODA BODA YAANDAA UCHAGUZI KAPENGURIA POKOT MAGHARIBI.
Wahudumu wa boda boda eneo la Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi wanaandaa leo uchaguzi wa viongozi wao.Ni shughuli inayoandaliwa katika uwanja wa michezo wa Makutano huku wito ukitolewa […]
-
POGHISIO AMTAKA RAIS KUZURU POKOT MAGHARIBI KATIKA ZIARA YAKE YA BONDE LA UFA.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amesema kuwa mazungumzo yanaendelea kuhakikisha kuwa rais uhuru kenyatta anafika kaunti hii ya Pokot magharibi atakapozuru eneo la kaskazini mwa bonde […]
-
WAKAZI KATIKA BONDE LA KERIO WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.
Wito umeyolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi, kaunti jirani ya Baringo pamoja na Turkana kuzingatia kuishi kwa amani na kukomesha uvamizi wa mara kwa mara unaochochewa na […]
-
WAKAZI WA EX-SOLONZO TRANS NZOIA WATAKA KUPEWA ARDHI MBADALA.
Wenyeji wa eneo la Gitwamba eneo bunge la Saboti Kaunti ya Trans-Nzoia wametaka wizara ya ardhi nchini kuharakisah mpango wa kuwapa ardhi mbadala baada yao kurufushwa kwenye shamba la Ex-Solonzo […]
-
GAVANA LONYANGAPUO ATETEA UTENDAKAZI WAKE POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ametetea utendakazi wake tangu alipochaguliwa kuwa gavana wa kaunti hii.Akizungumza katika hafla ya kuzindua pikipiki za sacco ya WEPESA mjini Makutano, […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUWEKA MIKAKATI KUKABILI BAA LA NJAA POKOT MAGHARIBI
Miito imeendelea kutolewa kwa serikali kuweka mikakati ya kuwasaidia wakazi wa maeneo mbali mbali ya kaunti hii ya Pokot magharibi kutokana na makali ya baa la njaa ambalo linawakodolea macho.Wakiongozwa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA MSAKO DHIDI YA CAROLYNE KANGOGO.
Serikali imetakiwa kufanya juhudi zaidi za kumnasa afisa wa polisi mtoro Carolyne Kangogo ili kuwahakikishia wakenya usalama wao.Baadhi ya wakazi mjini makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameelezea kusikitishwa […]
-
KAUNTI YA TRANS NZOIA KUPOTEZA ASILIMIA 30 YA NAFAKA MWAKA HUU.
Huenda kaunti ya Trans nzoia ikapoteza asilimia 30 ya nafaka mwaka huu kutokana na upungufu wa mvua ambayo imeshuhudiwa mwanzoni mwa mwaka huu.Haya ni kwa mujibu wa mshauri mkuu wa […]
-
MKUTANO WA AMANI BONDE LA KERIO WAANDALIWA TOT.
Viongozi kutoka kaunti tatu za kaskazini mwa bonde la ufa ikiwemo kaunti hii ya Pokot magharibi, Elgeyo marakwet na Baringo wameelezea imani kuwa juhudi za kurejesha amani eneo hili kutokana […]
-
WAKULIMA TURKWEL WANUFAIKA NA MIZINGA.
Shirika la safer kwa ushirikiano na mashirika mengine matano ikiwemo lile la NRT limetoa mizinga pamoja na vifaa vingine vitakavyotumika kuvuna asali kwa wakulima wa asali eneo la Turkwel katika […]
Top News