News
-
UTOVU WA USALAMA WAAATHIRI KUFUNGULIWA SHULE CHESOGON
Shughuli za masomo zinaporejelewa kote nchini kwa muhula wa kwanza, taharuki ingali imetanda katika eneo la Chesegon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na Elgeyo Marakwet kufuatia hofu ya […]
-
HOFU YA UPUNGUFU WA CHAKULA YATANDA TRANS NZOIA.
Viongozi Kaunti ya Trans Nzoia wameelezea hofu ya kupungua kwa uzalishaji wa zao la mahindi mwaka huu kwa zaidi ya asilimia hamsini.Wakiongozwa na Naibu Gavana Kaunti ya Trans Nzoia Dkt […]
-
VISA VYA UVAMIZI VYARIPOTIWA KUPUNGUA MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.
Chifu wa eneo la songok, ombolion eneo bunge la pokot kaskazini kaunti hii ya pokot magharibi Joseph Korkimul amepongeza juhudi za amani ambazo zinaendelezwa eneo hilo la mpakani baina ya […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUTOKUWA NA HOFU WANAO WANAPOREJEA SHULENI.
Wanafunzi wakiendelea kuripoti shuleni baada ya kufunguliwa shule kwa muhula wa kwanza baadhi ya shule kaunti hii ya pokot magharibi zimetangaza kuweka mikakati kabambe kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona […]
-
IDARA YA USALAMA YASUTWA KWA KUITELEKEZA POKOT MAGHARIBI KATIKA MASWALA YA USALAMA.
Idara ya usalama nchini imeshutumiwa vikali kwa kutozingatia usawa katika kuhakikisha amani inadumishwa mipakani mwa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet.Mwakilishi wa kike katika kaunti […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUZINGATIA UWAZI KATIKA MAJUKUMU YAO POKOT MAGHARIBI.
Viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya pokot magharibi wametakiwa kutekeleza majukumu yao waliyopewa na wananchi kikamilifu kwa kuzingatia uwazi katika shughuli zote wanazotekeleza.Ni wito wake spika wa bunge la […]
-
VIONGOZI ZAIDI WAPINGA UWEZEKANO WA KUAHIRISHA UCHAGUZI MKUU UJAO.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia shinikizo kutoka kwa baadhi wa viongozi kutaka uchaguzi mkuu wa mwaka ujao wa 2022 kuahirishwa ili kutoa fursa ya kufanyia katiba marekebisho kupitia mpango […]
-
RAIS ATAKIWA KUONDOA KAFYU SHULE ZINAPOFUNGULIWA RASMI.
Wazazi katika kaunti ya Trans nzoia wamewaomba walimu wakuu kuzingatia agizo la waziri wa elimu prof. George Magoha la kutowatuma nyumbani wanafunzi kufuatia ukosefu wa karo.Wazazi hao wamesema kuwa wamepitia […]
-
KUKAMATWA MAJAJI WAWILI KWAZIDI KUKASHIFIWA.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wananchi kufuatia hatua ya maafisa wa DCI kuwatia mbaroni majaji wawili Aggrey Mchelule na Said Chitembwe juma jana na kuwahoji kabla ya kuwaachilia muda […]
-
POGHISIO ATETEA HATUA YA KANU KUTOJIONDOA JUBILEE ILI KUBUNI OKA
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametetea hatua ya chama cha KANU kusalia katika chama cha Jubilee licha ya kubuni muungano wa One Kenya Alliance na vyama […]
Top News