News
-
KAUNTI YA TRANS NZOIA KUPOTEZA ASILIMIA 30 YA NAFAKA MWAKA HUU.
Huenda kaunti ya Trans nzoia ikapoteza asilimia 30 ya nafaka mwaka huu kutokana na upungufu wa mvua ambayo imeshuhudiwa mwanzoni mwa mwaka huu.Haya ni kwa mujibu wa mshauri mkuu wa […]
-
MKUTANO WA AMANI BONDE LA KERIO WAANDALIWA TOT.
Viongozi kutoka kaunti tatu za kaskazini mwa bonde la ufa ikiwemo kaunti hii ya Pokot magharibi, Elgeyo marakwet na Baringo wameelezea imani kuwa juhudi za kurejesha amani eneo hili kutokana […]
-
WAKULIMA TURKWEL WANUFAIKA NA MIZINGA.
Shirika la safer kwa ushirikiano na mashirika mengine matano ikiwemo lile la NRT limetoa mizinga pamoja na vifaa vingine vitakavyotumika kuvuna asali kwa wakulima wa asali eneo la Turkwel katika […]
-
CHIFU WA KASITEI ATETEA SHIRIKA LA NRT POKOT MAGHARIBI.
Naibu chifu wa eneo la Kasitei eneo la Turkwel katika kaunti hii ya Pokot magharibi Joseph Psiwa ametetea vikali shirika Northern Rangelands Trust NRT dhidi ya shutuma mbazo zimekuwa zikielekezwa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUGATUA UTOAJI FEDHA KWA WAZEE.
Mwakilishi wadi mteule ambaye pia ni kaimu kinara wa kiongozi wa wachache katika bunge la kaunti ya Trans-nzoia Magret Sabina Wanjala amepongeza serikali kuu kupitia kwa wizara ya jinsia kwa […]
-
SIASA ZAPIGWA MARUFUKU KATIKA HAFLA ZA MAZISHI KIMAETI BUNGOMA.
Chifu wa kata ya Kimaeti eneo bunge Bumula kaunti ya Bungoma Siafu Fwamba amepiga marufuku wanasiasa kupewa nafasi ya kuzungumza katika hafla za mazishi katika kata yake .Fwamba amesema kuwa […]
-
‘TAREHE YA UCHAGUZI HAITOBADILISHWA’ ASEMA SING’OEI.
Mshauri mkuu wa kisheria katika afisi ya naibu wa rais dkt abraham singoei, amekosoa vikali matamshi ya baadhi ya viongozi nchini ya kutaka kubadilishwa kwa tarehe ya uchaguzi mkuu wa […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUTONYAMAZIA VISA VYA DHULUMA DHIDI YA WATOTO.
Wazazi wametakiwa kuripoti visa vyovyote vya dhuluma dhidi ya watoto wadogo.Tume ya kitaifa ya usawa wa kijinsia imesema hayo wakati wa kuhamasisha wananchi kuhusu sheria za kukabili dhuluma za kijinsia […]
-
WATU WAWILI WAAGA DUNIA KUFUATIA UVAMIZI ENEO LA KABEN ELGEYO MARAKWET.
Watu wawili waliuwawa akiwemo mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha laikipia kwa kupigwa risasi wengine wawili wakiuguza majeraha mabaya baada ya wavamizi wanaoaminika kutoka eneo la pokot […]
-
VIONGOZI WAELEZEA WASIWASI WA KUSHUHUDIWA BAA LA NJAA POKOT MAGHARIBI.
Viongozi katika kaunti hii ya pokot magharibi wameendelea kutolea wito serikali kuu kuweka mikakati ya kuwasaidia wakazi wa kaunti hii ambao wataathirika na baa la njaa kutokana na ukame ambao […]
Top News