News
-
BUNGE LA TAIFA LALAUMIWA KWA ONGEZEKO LA BEI ZA MAFUTA YA PETROLI.
Baadhi ya wahudumu wa boda boda katika kaunti hii ya Pokot magharibi sasa wameelekeza ghadahabu zao kwa bunge la taifa kwa kutochukua hatua za kuhakikisha bei ya mafuta inadhibitiwa nchini […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAAHIDI KUWEKEZA KATIKA WATAALAM.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imetenga zaidi ya shilingi milioni 30 zitakazotumika kufadhili wakazi kutoka kaunti hii waliofuzu katika taaluma mbali mbali kuendeleza masomo katika mataifa ya nje.Haya […]
-
KITUO CHA UPASUAJI CHAZINDULIWA KAPENGURIA.
Kituo cha kufanya upasuaji wa magonjwa sugu kimezinduliwa rasmi hii leo katika hospitali ya kapenguria kaunti hii ya pokot magharibi uzinduzi ambao umeongozwa na gavana John Lonyangapuo.Lonyangapuo amesema kuwa kuzinduliwa […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WASHUTUMU MARUFUKU YA UKULIMA KWENYE MISITU.
Viongozi Kaunti ya Trans-Nzoia wanaendelea kushutumu vikali Sera ya wizara ya misitu na wanyama pori kupiga marufuku ukuzaji wa chakula haswa zao la mahindi kwenye misitu maarufu shamba system wakisema […]
-
MWALIMU AKUNG’UTWA NA WANAFUNZI SABOTI TRANS NZOIA.
Mwalimu mmoja wa shule ya upili ya mseto ya Nakuto st Johns Sikinwa kwenye eneo bunge la Saboti kaunti ya Trans nzopia amerekodi taarifa baada ya kushambuliwa na watahiniwa wake […]
-
WAHUDUMU WA MAGARI WALALAMIKIA VIZUIZI VYA POLISI ORTUM.
Wahudumu wa magari ya uchukuzi ya kutoka mjini makutano kuelekea ortum kaunti hii ya pokot magharibi wamelalamikia vizuizi vingi vya polisi ambavyo vipo kwenye barabara hiyo wakitaka idara husika kuvipunguza.Wakiongozwa […]
-
KAMATI ZA KUSIMAMIA MIRADI ZATAKIWA KUIMARISHA HUDUMA BAADA YA KUSAMBAZWA FEDHA ZA CDF KACHELIBA.
Kamati ya hazina ya maendeleo ya maeneo bunge CDF eneo bunge la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi imesema kuwa imesambaza fedha zote kwa akaunti za kamati zinazosimamia miradi […]
-
MARUFUKU YA SIASA MAKANISANI YAENDELEA KUIBUA HISIA.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia hatua ya baadhi ya makanisa kupiga marufuku viongozi wa siasa kupeleka siasa katika maabadi.Baadhi ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wameunga mkono […]
-
WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA LEVEL MJINI KITALE KUNUFAIKA NA MSAADA WA CHAKULA.
Zaidi ya wagonjwa 7,500 katika Hospitali kuu ya level four mjini Kitale wanatarajiwa kunufaika na msaada wa chakula kutoka kwa shirika la Visa oshwal community mjini Kitale wa kima cha […]
-
POKOT MAGHARIBI YAKABILIWA NA HATARI YA BAA LA NJAA.
Huenda visa vya utapiamlo vikaongezeka hata zaidi katika kaunti hii ya pokot magharibi kutokana na uhaba wa chakula ambao huenda ukashuhudiwa hivi karibuni.Haya ni kulingana na afisa katika shirika la […]
Top News










