News
-
WITO WA AMANI WASISITIZWA TAIFA LINAPOELEKEA KWENYE UCHAGUZI MKUU.
Wakazi wa kaunti hii ya pokot magharibi wametakiwa kudumisha amani hasa wakati huu ambapo taifa linaeleka katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Ni wito wake Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ambaye […]
-
WAKAZI WA BUNGOMA WATAKIWA KUUNGA MKONO UDA.
Mbunge wa sirisia katika kaunti ya Bungoma John Waluke ametoa wito kwa viongozi na wananchi katika kaunti hiyo kujiunga na chama cha UDA kinachohusishwa na naibu rais William Ruto.Akizungumza katika […]
-
MALUMBANO YA UONGOZI FORD KENYA YAATHIRI MAENDELEO TRANS NZOIA NA BUNGOMA.
Kaunti za Trans nzoia na Bungoma hazijakuwa zikifanya vyema kutokana na malumbano ya uongozi katika chama cha Ford Kenya ambapo magavana wote wawili Patrick khaemba na wyclife wangamati wamechaguliwa kwa […]
-
WAKAZI WA SIYOI WAHIMIZWA KUWEKEZA ZAIDI KATIKA KILIMO.
Wakazi wa eneo la siyoi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutia juhudi katika shughuli zao za ukulima ili kuimarika zaidi kiuchumi.Ni wito wake afisa mkuu katika wizara ya […]
-
SHUGHULI YA UCHIMBAJI MAFUTA TURKANA KUREJELEWA MWISHONI MWA MWAKA UJAO.
Wizara ya petroli na madini inaendeleza zoezi la kuwahusisha wananchi kuhusu mradi wa uchimbaji wa mafuta ghafi kaunti ya turkana kabla ya kurejelewa rasmi shughuli hiyo ambayo kwa sasa imesitishwa.Akizungumza […]
-
BUNGE LA BUNGOMA KUREJELEA VIKAO JUMA LIJALO BAADA YA KUFUNGWA KWA MUDA.
Bunge la kaunti ya Bungoma litaanza kujadili mswada wa bajeti wa mwaka 2021/2022 kuanzia wiki ijayo.Kiongozi wa wengi katika bunge hilo Joseph Nyongesa amesema kuwa bunge hilo litajadili mswada huo […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAPOKEZWA VIFAA VYA KUKAGUA ARDHI KIDIJITALI.
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi, nyumba na maendeleo ya miji katika bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi Johnson Lokato amepongeza shirika la FAO pamoja na la umoja wa ulaya […]
-
WAKAZI WAONYWA DHIDI YA KUGAWANYWA ARDHI POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi hasa wanaoshi kwenye ardhi za jamii yani community land wameshauriwa kutoshinikiza kupewa hati miliki za ardhi hali itakayopelekea kugawanya ardhi hizo.Akizungumza katika fisi […]
-
SEFA YAZINDUA UJENZI WA BWAWA ORWO POKOT MAGHARIBI.
Shirika la SEFA limezindua ujenzi wa mradi wa unyunyiziaji maji mashamba wa parasany eneo la Orwo katika kaunti hii ya Pokot magharibi ili kuwawezesha wakulima eneo hilo kuendesha shughuli za […]
-
SWALA LA ARDHI LAZIDI KUIBUA UTATA TRANS NZOIA.
Viongozi kutoka Kaunti ya Trans Nzoia sasa wanataka shughuli ya kurejesha ardhi yote ya umma iliyonyakuliwa na watu binafsi kutekelezwa kwenye ardhi zote za umma haswa mjini Kitale, wakisema asilimia […]
Top News