News
-
HALI YA TAHARUKI IMETANDA KATIKA ENEO LA CHESOGON MPAKANI PA KAUNTI YA MARAKWET NA POKOT MAGHARIBI
Ng’ombe zaidi ya 300 wameibwa huku wakazi wawili wakiripotiwa kuuliwa na wengine kujeruhiwa baada ya wavamizi wanaoaminika kutoka kaunti jirani kuvamia eneo la chesogon mpakani pa kaunti hii na kaunti […]
-
CHIFU WA NAMODO POKOT MAGHARIBI ASHUTUMIWA KWA UNYAKUZI WA ARDHI.
Wakazi wa kijiji cha Namodo eneo la Lokichar kaunti hii ya Pokot magharibi wameandamana kulalamikia kile wamedai hatua ya chifu wa eneo hilo kunyakua ardhi yao.Wakazi hao wanamtuhumu chifu wa […]
-
WAKULIMA TURKWEL NA LOIMA WAKUMBATIA MBINU MPYA ZA KILIMO.
Wakulima kutoka eneo la Turkwel na Loima Turkana kusini wamekumbatia mbinu mpya ya upanzi wa mimea kwenye mifuko uliowekwa mchanga wenye rutuba ili kuepuka hasara ambayo wamekuwa wakikadiria kutokana na […]
-
WAFUASI WA ODM TRANS NZOIA WAHIMIZA AMANI KATIKA MKUTANO WA BUKHUNGU 2.
Wafuasi wa chama cha ODM Kaunti ya Trans Nzoia wamewarai vijana kutoka magharibi ya nchi kuhubiri amani katika Mkutano wa Bukhungu hii leo wakisema Francis Atwoli na Gavana wa Kakamega […]
-
VIJANA WAONYWA DHIDI YA KUJIHUSISHA NA DHULUMA ZA JINSIA TRANS NZOIA.
Jaji wa mahakama ya Rufaa mjini Kisumu Patrick Kiage amesikitikia idadi kubwa ya kesi za dhuluma za kimapenzi zinazoripotiwa kila siku katika nyingi ya mahakama za humu nchini ikihusisha vijana […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHIWA USALAMA MIPAKANI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi hasa katika mipaka ya kaunti hii na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet ambako kumekuwa kukishuhudiwa utovu wa usalama wametakiwa kuendelea kudumisha amani msimu […]
-
MBUZI AINA YA GALA WAENDELEA KUTOLEWA KWA WAKULIMA POKOT MAGHARIBI.
Wafugaji katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutunza vyema mifugo ambao wamepewa na gavana wa kaunti hii John Lonyangapuo ili kuimarisha kilimo chao cha ufugaji.Akizungumza baada ya kutolewa mbuzi […]
-
NCIC YATAKIWA KUFUATILIA MIENENDO YA WANASIASA TRANS NZOIA.
Tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC na idara ya upelelezi DCI zimetakiwa kufuatilia kwa karibu viongozi wa kisiasa ambao wanatoa semi za chuki katika mikutano mbali […]
-
ANC CHAPATA PIGO BUNGOMA MIKONONI MWA UDA.
Chama cha ANC chake Musalia Mudavadi kimepata pigo baada ya mwenyekiti wa chama hicho tawi la kaunti ya Bungoma Johnathan Baraza kugura chama hicho na kujiunga na chama cha UDA […]
-
‘JUKUMU LA KUJILINDA DHIDI YA CORONA NI LA MWANANCHI MWENYEWE’ ASEMA POGHISIO.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameendelea kusisitiza haja ya wakazi wa kaunti hii kuwa makini zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona msimu huu ambapo […]
Top News










