News
-
WASHUKIWA WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KAPENGURIA BAADA YA KUPATIKANA NA VILEO HUMU NCHINI KUTOKA NCHI JIRANI YA UGANDA
Kesi kuhusu ukwepaji wa kodi inayowahusu washukiwa wawili kaunti hii ya Pokot magharibi imetajwa katika mahakama ya kapenguria ambapo washukiwa walitakiwa kujibu mashitaka dhidi yao.Geoffrey Torotich ambaye ni dereva na […]
-
WASHUKIWA WAWILI WA UVAMIZI WAUAWA NA POLISI CHESOGON.
Washukiwa wawili wa uvamizi wameuliwa kwa kupigwa risasi huku wengine wakiuguza majeraha mabaya kufuatia makabiliano makali na maafisa wa polisi usiku wa kuamkia leo eneo la chesogon mpakani pa kaunti […]
-
JAMII YA SABAOT TRANS NZOIA YAGAWANYIKA KUHUSU NAIBU GAVANA WA KEN LUSAKA.
Viongozi wa jamii ya sabaot katika kaunti ya Trans nzoia wameshindwa kuafikiana kuhusu ni nani anayepaswa kuteuliwa kuwa naibu gavana wa Ken Lusaka kwenye uchaguzi mkuu ujao kwa madai ya […]
-
WAKUU WA USALAMA WALAUMIWA KUTOKANA NA UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mbunge wa Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amelaumu kile amedai kuwa utepetevu miongoni mwa maafisa wa usalama kufuatia ongezeko la utovu wa usalama katika bonde la […]
-
WAKAZI WA BONDE LA KERIO WALALAMIKIA BAA LA NJAA.
Wakaazi wa maeneo ya bonde la kerio sasa wanaiomba serikali na mashirika mengine kuwasambazia chakula cha msaada ili kuwanusuru na baa la njaa linalowakumba.Wakiongozwa na Timothy Kemboi wakazi hao wanasema […]
-
ASILIMIA KUBWA YA WAKAZI TRANS NZOIA WAKABILIWA NA UHABA WA MAJI LICHA YA KUWEPO VYANZO VYA MAJI.
Imebainika kwamba asilimia 50 ya wakazi wa kaunti ya Trans nzoia hawajasambaziwa maji licha ya kuwa na vianzo viwili vya maji vikiwamo vya mlima Elgon na kile cha Cherangany.Waziri wa […]
-
EACC YASHINIKIZWA KUHARAKISHA UCHUNGUZI WA MATUMIZI YA FEDHA POKOT MAGHARIBI.
Aliyekuwa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kuwahimiza wakazi wa kaunti hii kumuunga mkono kuwania tena kiti hicho katika uchaguzi mkuu ujao ili kukamilisha miradi ya […]
-
UTULIVU WAREJEA KOITILIAL, ELGEYO MARAKWET.
Utulivu umeanza kurejea kwenye eneo la koitilial kaunti ya Elgeyo marakwet baada ya watu wawili kuuliwa kwa kupigwa risasi na wavamizi huku wengine 7 wakijeruhiwa vibaya.Kulingana na mshirikishi wa eneo […]
-
‘LONYANGAPUO HANA UMAARUFU TENA POKOT MAGHARIBI’, ASEMA ATUDONYANG.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo alipoteza umaarufu wake wa kisiasa katika kaunti hii baada yake kujiondoa katika chama cha KANU na kubuni chama cha KUP kinachotajwa […]
-
UTOVU WA USALAMA WAENDELEA KUSHUHUDIWA MARAKWET MAGHARIBI.
Viongozi katika kaunti ya elgeyo marakwet wameshutumu mauaji ya watu wawili yaliyotekelezwa na wezi wa mifugo katika eneo la koitilial, eneo bunge la marakwet magharibi hapo jana.Wakiongozwa na naibu gavana […]
Top News










