News
-
BI. HARUSI WA “ROHO MTAKATIFU” AAGA DUNIA.
Mkazi mmoja wa kaunti hii ya Pokot magharibi aliyegonga vichwa vya habari mwaka jana kwa kudai kufunga harusi na roho mtakatifu amepatikana amefariki katika hali isiyoeleweka.Kulingana na Jackson kapatet ambaye […]
-
WANASIASA WATAKIWA KUCHUNGA MATAMSHI YAO.
Wito umetolewa kwa wanasiasa nchini kuwa waangalifu na matamshi wanaotoa kwenye kampeni zao za kisiasa wakati huu ambapo wanatafuta uungwaji mkono kwenye nyadhifa mbalimbali za uchaguzi wa Agosti 9.Akihutubu katika […]
-
VIONGOZI WA AZIMIO LA UMOJA WAELEZEA IMANI YA KUTWAA UONGOZI WA TAIFA.
Seneta wakaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amesema kuwa mrengo wa azimio la umoja uko katika nafasi bora ya kuongoza taifa baada ya uchaguzi mkuu ujao wa mwezi agosti.Poghisio […]
-
MIRADI YA MAENDELEO POKOT MAGHARIBI YATARAJIWA KUKAMILIKA KABLA YA AGOSTI 9.
Serikali ya kitaifa iko mbioni kukamilisha miradi iliyoanzishwa katika kaunti mbali mbali nchini kabla ya kukamilika muhula wa pili wa kuhudumu rais Uhuru Kenyatta ambaye anatarajiwa kustaafu tarehe 9 mwezi […]
-
MUNYA AZURU TRANS NZOIA KUZINDUA UUZAJI WA MBOLEA YA BEI NAFUU.
Waziri wa kilimo Peter Munya anazuru leo kaunti ya Trans nzoia kuzindua uuzaji wa mbolea ya bei nafuu siku chache tu baada ya kuitikia wito wa wakulima na kupunguza bei […]
-
KIWANDA CHA KUCHINJA NGOMBE CHA NASUKUTA CHA ZINDULIWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Uzinduzi wa kichinjio cha Nasukuta katika kaunti hii ya Pokot magharibi ni moja ya ajenda kuu za serikali ya jubilee ikiwa ni pamoja na utoshelezaji wa chakula hasa katika sekta […]
-
WENYEJI WA KAUNTI YA TRANSNZOIA WATOA HISIA ZAO KUFUATIA UAMUZI WA MAHAKAMA KUTUPILIA MBALI BBI
Muda mfupi tu baada ya mahakama ya upeo kutoa uamuzi wake kuhusiana na kesi ya mswada wa marekebisho ya katiba kupitia kwa mchakato wa BBI viongozi mbali mbali Kaunti ya […]
-
MOROTO APATA AFUENI BAADA YA KUTUPILIWA MBALI KESI INAYOHUSU SHAMBA LA ADC.
Mbunge wa Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amepata afueni baada ya kukamilika kesi iliyokuwa ikimwandama katika mahakama ya Kitale iliyokuwa ikihusu shamba la ustawishaji wa kilimo ADC.Akizungumza […]
-
WAZAZI POKOT MAGHARIBI WATAKA KUANGAZIWA MATUMZI YA FEDHA ZA BASARI.
Wazazi wa wanafunzi waliofanya mtihani wa kitaifa wa KCPE kaunti ya pokot magharibi sasa wanaiomba serikali kuu na ile ya kaunti kuangazia wanafunzi wanaotoka katika jamii sisizojiweza wakati wa kutoa […]
-
WATU WATATU WAUA BARINGO KUSINI NA WAVAMIZI.
Wakazi wa eneo la Tandar Lamaiywe wadi ya Mochongoi Baringo kusini katika kaunti ya Baringo wanagali wanaishi kwa hofu kufuatia shambulizi lililotokea jana ambapo watu watatu wanahofia kufariki huku wengine […]
Top News










