News
-
SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI AWASILISHA MAKARATASI YAKE KATIKA OFISI YA IEBC
Mwaniaji wa kiti cha mwakilishi kina mama katika kaunti hii ya Pokot magharibi ambaye ni spika wa bunge la kaunti hii Catherine Mukenyang ameidhinishwa rasmi kuwania kiti hicho katika uchaguzi […]
-
MWANAKANDARASI ANAYE WEKA LAMI BARABARA YA LESOS KOLONGOLO ASHUTUMIWA NA WAKAAZI KWA KAZI DUNI
Wakaazi wa eneobunge la kwanza wamepaza sauti zao kulalamikia hatua ya Mwanakandarasi kutia Lami Barabara ya Lesos Namanjalala Kolongolo ambayo haiwezi kutumika na malori yanayobeba mizigo yenye uzani unazidi tani […]
-
OPARESHENI KALI YAANZISHWA YA KUHAKIKISHA WANAFUNZI WOTE WANAPELEKWA SHULENI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Zaidi ya wanafunzi alfu 4 hawajaripoti shuleni tangu kuanza zoezi la kuwasajili wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa kamishina wa […]
-
ONYO KALI YATOLEWA KWA WAGEMAJI WA POMBE KACHELIBA NA KONYAO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Wagemaji wa pombe haramu eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameonywa vikali dhidi ya biashara hiyo kufuatia lalama za wakazi kuhusu kukithiri kwa biashara hiyo eneo hilo […]
-
WAWANIAJI VITI MBALIMBALI KAUNTI YA TRANSNZOIA WAMESEMA WATAHAKIKISHA USALAMA UNADUMISHWA KAUNTI HIYO
Viongozi akina Mama Kaunti ya Trans Nzoia wameelezea Imani kuwa uchaguzi mkuu wa Agosti 9 utakuwa wa amani na huru kwa wawamiaji wote.Akuhutubu baada ya kuidhinishwa kuwania kiti cha uwakilishi […]
-
WAZEE KAUNTI YA UASINGISHU WATOA WITO KWA VIONGOZI KUENEZA AMANI
Baadhi ya wazee wa jamii ya kalenjin katika kaunti ya uasin gishu wameelezea kuunga mkono ripoti ya tume ya uiano na utangamano wa kitaifa ncic inayoiorodhesha kaunti hiyo miongoni mwa […]
-
IEBC YAENDELEA KUIDHINISHA WAGOMBEA NYADHIFA ZA KISIASA AGOSTI 9.
Wagombea nyadhifa mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameidhinishwa rasmi na tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kuwania nyadhifa hizo katika uchaguzi mkuu wa tarehe tisa mwezi […]
-
KUP CHAPUUZA MADAI YA KUTOKUWA NA UWEZO WA KUUZA AZIMIO POKOT MAGHARIBI.
Chama cha KUP katika kaunti hii ya Pokot magharibi kimepinga vikali madai kuwa hakina uwezo wa kuuza sera za chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya katika kaunti […]
-
WATU WATATU WAULIWA TOT ELGEYO MARAKWET.
Watu watatu wameuliwa kwa kupigwa risasi kufuatia shambulio ambalo limetekelezwa na washukiwa wa wizi wa mifugo katika eneo la Kapkoros Tot katika kaunti ya Elgeyo Marakwet.Kulingana na ripoti ya idara […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKA MKEWE MAREHENI MWAKILISHI WADI JOHNSTONE LOKATO KUMRIDHI KUONGOZA ENEO LA LELAN
Siasa za urithi wa mwakilishi wadi ya Lelan eneo la pokot kusini katika kaunti hii ya Poko magharibi Johnson Lokato ambaye aliaga dunia zimesheheni mazishi yake ambayo yameandaliwa hiyo jana.Baadhi […]
Top News










