News
-
AZIMIO YAWASILISHA RUFAA YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI WA URAIS.
Chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya hatimaye kimewasilisha rufaa ya kupinga matokeo ya uchguzi mkuu wa agosti 9.Katika stakabadhi yenye kurasa 76, kinara wa muungano huo Raila […]
-
MCHAKATO WA KUPATA UONGOZI MPYA POKOT MAGHARIBI WAELEKEA KUKAMILIKA.
Mipango ya kuingia afisini rasmi serikali mpya inayoongozwa na gavana mteule Simon Kachapin katika kaunti hii ya Pokot magharibi inaendelea, kamati ya kufanikisha ukabidhianaji mamlaka ikiwa katika hatua za mwisho […]
-
MIMBA ZA MAPEMA ZASALIA KIKWAZO KWA ELIMU YA MTOTO WA KIKE POKOT MAGHARIBI.
Huenda baadhi ya wanafunzi hasa wa kike katika kaunti hii ya Pokot magharibi wakakosa kurejea shuleni baada ya shule kufunguliwa tena kutokana na likizo ya majuma mawili ambayo yalitumika kuandaa […]
-
ATHARI ZA UVAMIZI ZENDELEA KUSHUHUDIWA BARINGO.
Zaidi ya familia 100 kwenye eneo bunge la Baringo kaskazini zilizokimbia makwao kutokana na utovu wa usalama sasa zanaitaka serikali kuingilia kati ili kuwapa mahitaji ya kimsingi kama vile chakula.Familia […]
-
MACHO YOTE YAELEKEA MAHAKAMA KUU AZIMIO UKITARAJIWA KUWASILISHA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA URAIS.
Chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya kinatarajiwa leo kuwasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa William Ruto katika matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa jumatatu iliyopita na mwenyekiti wa tume […]
-
MASOMO YAREJELEWA BAADA YA LIKIZO YA UCHAGUZI.
Shughuli za masomo zinaporejelewa leo baada ya kufungwa shule kwa kipindi cha majuma mawili ili kupisha maandalizi ya uchaguzi mkuu, wazazi wametakiwa kuhakikisha kuwa wanao wanarejea shuleni kwa wakati unaofaa.Akizungumza […]
-
HOSPITALI YA KACHELIBA YASUTWA KWA KUWANYANYASA WAFANYIKAZI.
Wafanyikazi katika hospitali ya Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali ngumu ya maisha ambayo wanapitia wanapoendeleza shughuli zao katika hospitali hiyo.Wafanyikazi hao wamelalamika kulipwa fedha kidogo licha ya […]
-
RUTO ATAKIWA KUFANYA MAPATANO NA WAKOSOAJI WAKE
Rais mteule William Ruto ameendelea kupokea shinikizo za kufanya mapatano na viongozi waliokuwa wakosoaji wake wakumbwa katika kipindi ambacho alikuwa akihudumu kama naibu rais.Tom Juma ambaye ni mwenyekiti wa chama […]
-
FURAHA YA KUUNGANA NA JAMAA BAADA YA ZAIDI YA MIAKA MIWILI.
Wananchi wametakiwa kuwatunza vyema jamaa zao wenye matatizo ya akili kutokana na changamoto zinazotokana na watu hao katika jamii, na vile vile kufanya mazoea kutumia idara ya polisi kuwasaka iwapo […]
-
RUTO APONGEZA UCHAGUZI WAKE AKIMIMINIA SIFA IEBC.
Rais mteule William Samoei Ruto amewapongeza wakenya ambao walijitokeza kupiga kura na kuhakikisha kuwa anatwaa uongozi wa taifa hili.Akizungumza baada ya kutangazwa rasmi kuwa rais wa tano wa taifa hili, […]
Top News










