News
-
WAKENYA WAINGIA DEBENI HUKU IDARA YA POLISI IKIWAHAKIKISHIA USALAMA.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wanapoendelea kujitokeza katika shughuli ya upigaji kura idara ya polisi kaunti hii imetoa wito kwa wote wanaoshiriki zoezi hilo kuhakikisha kuwa wanarejea makwao […]
-
HALI YA USALAMA YATIWA KWENYE MIZANI BONDE LA KERIO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.
Uchaguzi mkuu wa agosti 9 ukitarajiwa kuandaliwa hapo kesho, waathiriwa wa uvamizi katika eneo bunge la baringo kaskazini na kusini sasa wanaitaka serikali kuimarisha usalama katika maeneo hayo ili kuwawezesha […]
-
MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU JUMANNE YAKAMILIKA.
Masaa machache tu kabla ya uchaguzi mkuu wa jumanne juma hili tume ya uchaguzi IEBC imesema kuwa maandalizi yamekamilika kwa ajili ya uchaguzi huo.Afisa wa tume hiyo eneo bunge la […]
-
MIITO YA AMANI YAENDELEA KUTOLEWA CHINI YA MASAA 24 KABLA YA UCHAGUZI WA JUMANNE.
Ikiwa yamesalia chini ya masaa machache tu kabla ya uchaguzi mkuu wa hapo kesho jumanne, viongozi kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kutoa wito kwa wananchi kudumisha amani ili kuwe […]
-
MIITO YA KUDUMISHWA AMANI YAZIDI KUTOLEWA SIKU 4 TU KABLA YA UCHAGUZI MKUU.
Siku nne tu kabla ya uchaguzi mkuu wa jumanne juma lijalo mwaniaji ugavana katika kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha UDA Simon Kachapin ametoa wito kwa wakazi wa […]
-
IEBC YAWAHAKIKISHIA WAKENYA KUKAMILIKA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU.
Tume huru ya uchaguzi nchini IEBC imewahakikishia wakenya kuwa maandalizi yote yamekamilika kuelekea uchaguzi mkuu wa wiki ijayo.Akizungumza katika mahojiano na kituo hiki afisa msimamizi wa uchaguzi wa tume hiyo […]
-
TAHARUKI YAENDELEA KUTANDA OMBOLION MTU MMOJA AKIULIWA NA WAVAMIZI.
Hali ya taharuki imetanda katika eneo la ombolion, turkwel mpakani mwa kaunti za pokot magharibi na turkana baada ya kijana wa miaka 18 kuuliwa na wavamizi wanaoshukiwa kutoka kaunti jirani […]
-
RAIA WA ERITREA WATARAJIWA KUFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KAPENGURIA KWA KUPATIKANA NCHINI KINYUME CHA SHERIA.
Raia 41 kutoka Eritrea walionaswa jumanne eneo la Kanyarkwat eneo bunge la Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi wakiwa nchini bila stakabadhi za kuhalalalisha uwepo wao nchini wanataraji wa jumatano […]
-
LONYANGAPUO ASUTWA KWA KUKITHIRI UFISADI KWENYE SERIKALI YAKE.
Mwaniaji ugavana katika kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendeleza shutuma dhidi ya gavana wa sasa ambaye pia anatetea kiti hicho kupitia chama cha KUP John Lonyangapuo kwa madai ya […]
-
IEBC YAENDELEZA MAANDALIZI YA UCHAGUZI SIKU 6 TU KABLA UCHAGUZI WA AGOSTI 9.
Siku 6 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa tarehe 9 mwezi huu wa agosti, tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imeendelea kuweka mikakati ya awamu za lala salama […]
Top News










