Author: Charles Adika
-
WALIMU WATAKIWA KUZINGATIA MWONGOZO WA WIZARA YA ELIMU SHULE ZIKITARAJIWA KUFUNGULIWA.
Walimu wakuu katika kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kuzingatia mwongozo wa wizara ya elimu sawa na kushauriana na wazazi jinsi ya kulipa karo ya wanafunzi.Mwakilishi wadi ya Sirende Alfred Weswa […]
-
KENYA SEED YATOA MSAADA WA VISODO KWA AJILI YA WANAFUNZI TRANS NZOIA.
Kama njia moja ya kuhakikisha mtoto wa kike anasalia shuleni bila ya matatizo ya kukosa taulo za hedhi, Kampuni ya uzalishaji mbegu Kenya seed imetoa msaada wa laki moja kwa […]
-
WAKULIMA WATAKIWA KUKUMBATIA KONDOO AINA YA DOPPER.
Wakulimakatika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia ufugaji wa kondoo aina ya Dopper.Akizungumza eneo la siyoi kaunti hii ya Pokot magharibi katika shughuli ya kutoa kondoo hao kwa makundi […]
-
MIMBA ZA MAPEMA ZASALIA KERO POKOT MAGHARIBI.
Takwimu za shirika la AMREF zinaashiria kuwa visa vya mimba za mapema katika kaunti hii ya Pokot magharibi zinazidi viwango vya kitaifa.Haya ni kwa mujibu wa mshirikishi wa shirika hilo […]
-
-
-
POGHISIO ASHUTUMU MIKUTANO YA AMANI KERIO VALLEY ISIYOZAA MATUNDA.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amekosoa mikutano ya amani ambayo imekuwa ikiandaliwa na viongozi kutoka katika kaunti za bonde la kerio ambazo zinashuhudia uvamizi unaotokana na […]
-
VIONGOZI WA DINI WATAKA MAKANISA KUFUNGULIWA BUNGOMA.
Viongozi wa dini katika kaunti ya Bungoma wameendelea kuishinikiza serikali kuruhusu kuendelea ibaada makanisani kwa kuzingatia kanuni za kukabili maambukizi ya virusi vya corona.Viongozi hao wamesema kuwa kufunguliwa kwa makanisa […]
-
JUHUDI ZA KUKABILI UKEKETAJI BARINGO ZAPONGEZWA
Viongozi pamoja na wanaharakati wa kutetea haki za watoto eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo wameelezea kuridhishwa na hatua zilizopigwa katika kukabili ukeketaji.Wakiongozwa na mwakilishi wadi ya Loya Moroko […]
-
WATU WATANO WAULIWA NA WAVAMIZI MARAKWET MASHARIKI.
Polisi wameimarisha doria eneo la Marakwet mashariki katika kaunti ya Elgeyo marakwet baada ya wezi wa mifugo kuvamia eneo hilo jana na kuwaua watu watano kwa risasi huku wengine watatu […]
Top News