Author: Charles Adika
-
USAJILI WAWANAOJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA WASHUHUDIA IDADI KUBWA.
Usajili wa wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza ukiingia leo siku ya tatu, wakuu wa shule mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamesema kuwa zoezi hilo linaendelea vyema […]
-
-
-
-
-
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WATAKIWA KUELEWANA KUHUSU MIRADI ATAKAYOZINDUA RAIS.
Katibu mwandamizi katika wizara ya fedha Eric Wafukho amezuru Kaunti ya Trans-Nzoia Kutathmini miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kuu ikiwa ni pamoja na ukarabati wa uwanja wa ndege wa […]
-
MWANAFUNZI ATEMBEA KILOMITA 50 KUSAJILIWA KATIKA SHULE YA UPILI TRANS NZOIA.
Usajili wa wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza ukiingia siku ya pili hii leo, mwanafunzi mmoja amelazimika kutembea kilomita 50 ili kujiunga na shule ya upili ya wavulana ya kitaifa […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUUNGANA ILI KUAFIKIA MAENDELEO.
Wito umetolewa kwa viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuja pamoja na kushirikiana ili kuafikia maendeleo na kuimarisha uchumi wa kaunti hii.Ni wito wake mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto […]
-
WAFANYIBIASHARA WA SARE ZA SHULE WALALAMIKIA KUPOKONYWA BIASHARA NA WAKUU WA SHULE.
Wafanyibiashara mjini Makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameshutumu kile wamedai baadhi ya wakuu wa shule wameingilia biashara ya kuuza bidhaa shuleni hasa zile zinazotumika na wanafunzi wanaojiunga na […]
Top News