Author: Charles Adika
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WADAI KUINGIZWA SIASA KATIKA SHUGHULI YA KUTOA VITAMBULISHO.
Viongozi kutoka Endebess Kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia kile wametaja kuhangaishwa vijana wanaotaka kujisajili kupata vitambulisho vya kitaifa na maafisa husika .Wakiongozwa na mbunge wa Endebess Dkt Robert Pukose viongozi […]
-
WAKAZI WA EWAN WALALAMIKIA BARABARA MBOVU POKOT KUSINI.
Wakazi wa eneo la Ewan eneo bunge la Pokot kusini kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali mbovu ya barabara eneo hilo wanayosema kuwa imeathiri shughuli nyingi muhimu.Wakiongozwa na Mathew […]
-
BUNGE LA POKOT MAGHARIBI LAJITETEA KUHUSU HATUA YA KUMTIMUA SPIKA.
Baadhi ya waakilishi wadi kaunti hii ya pokot magharibi hasa waliochangia hoja ya kumbandua spika wa bunge la kaunti hii Catherine Mukenyang wamevunja kimya chao kutokana na shutuma ambazo zinaelekezwa […]
-
MAHAKAMA YAWEKA ZUIO LA MUDA KUTIMULIWA MUKENYANG.
Spika wa bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi Catherine Mukenyang amepata afueni ya muda baada ya mahakama kuu ya Eldoret kusitisha kwa muda uamuzi wa bunge hilo kumwondoa mamlakani.Jaji […]
-
-
-
-
-
-
Top News









