Author: Charles Adika
-
-
-
-
MARUFUKU YA SIASA MAKANISANI YAENDELEA KUIBUA HISIA.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia hatua ya baadhi ya makanisa kupiga marufuku viongozi wa siasa kupeleka siasa katika maabadi.Baadhi ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wameunga mkono […]
-
WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA LEVEL MJINI KITALE KUNUFAIKA NA MSAADA WA CHAKULA.
Zaidi ya wagonjwa 7,500 katika Hospitali kuu ya level four mjini Kitale wanatarajiwa kunufaika na msaada wa chakula kutoka kwa shirika la Visa oshwal community mjini Kitale wa kima cha […]
-
POKOT MAGHARIBI YAKABILIWA NA HATARI YA BAA LA NJAA.
Huenda visa vya utapiamlo vikaongezeka hata zaidi katika kaunti hii ya pokot magharibi kutokana na uhaba wa chakula ambao huenda ukashuhudiwa hivi karibuni.Haya ni kulingana na afisa katika shirika la […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAPOKEZWA BIDHAA ZA KUKABILI UTAPIAMLO.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imepokezwa bidhaa za kukabili utapia mlo miongoni mwa watoto katika kaunti hii kutoka shirika la action against hunger kupitia mpango wa mother to […]
-
-
-
Top News







