Author: Charles Adika
-
-
-
-
-
MUKENYANG AELEKEA MAHAKAMANI KUPINGA KUBANDULIWA AFISINI.
Aliyekuwa spika wa bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi Catherine Mukenyang amewalaumu wabunge katika bunge hilo kwa hatua ya kumbandua afisini bila ya kumpa nafasi ya kujitetea ndhidi ya […]
-
HISIA ZAGHUBIKA KUBANDULIWA AFISINI SPIKA MUKENYANG.
Hatua ya kubanduliwa afisini spika wa bunge la kaunti ya Pokot magharibi Catherine Mukenyang na wabunge katika bunge hilo imeendelea kuibua hisia mseto miongoni mwa wakazi kaunti hii.Wakiongozwa na James […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUARAKISHA UTOAJI WA HATI MILIKI KWA WAKAZI WA CHEPCHOINA.
Ipo haja kwa serikali kuharakisha shughuli za ugavi na utoaji wa hatimiliki ya ardhi kwa wenyeji wa Chepchoina eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia, ambayo kwa muda mrefu […]
-
WALIOPATA DOZI YA KWANZA YA CORONA BUNGOMA WATAKIWA KUJITOKEZA KUPOKEA DOZI YA PILI.
Wakazi katika kaunti ya Bungoma ambao walipokea dozi ya kwanza ya chanjo dhidi ya virusi vya corona wametakiwa kujitokeza na kupokea dozi ya pili.Waziri wa afya katika kaunti hiyo Anthony […]
-
-
Top News







