Author: Charles Adika
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WATAKIWA KUWATAFUTA WAHISANI KUIMARISHA KAUNTI KIUCHUMI.
Viongozi katika kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kuwatafuta wahisani kuwekeza katika sekta mbali mbali kaunti hiyo kama njia moja ya kupiga jeki kilimo na uchumi wa eneo hilo badala ya […]
-
WAZAZI WALALAMIKIA MTAALA WA UMILISI CBC KWA GHALI.
Chama cha wanasheria LSK kinapotarajiwa kufika mahakamani kupinga utekelezwaji wa mtaala wa elimu CBC, baadhi ya wazazi katika kaunti hii ya pokot magharibi wameendelea kulalamikia mtaala huo ambao wamedai ni […]
-
KUBANDULIWA MUKENYA KAMA SPIKA KWAENDELEA KUCHOCHEA HISIA.
mseto zimeendelea kuibuliwa katika kaunti hii ya pokot magharibi kufuatia hatua ya bunge la kaunti hii kumbandua afisini spika Catherine Mukenyang kwa madai ya utumizi mbaya wa afisi miongoni mwa […]
-
BIDHAA ZA WIZI ZAKAMATWA KAPENGURIA.
Polisi katika kituo cha polisi cha kapenguria wamepata baadhi ya bidhaa za wizi kufuatia oparesheni ambayo inaendeshwa kuwanasa washukiwa wa misururu ya wizi ambayo imekuwa ikiripotiwa eneo la kapenguria kaunti […]
-
-
-
-
-
WAKIMBIZI TRANS NZOIA WALALAMIKIA KUTENGWA KIELIMU.
Siku moja baada ya ulimwengu kuadhimisha siku ya kusoma na kuandika jamii ya wakimbizi wa ndani kwa ndani Kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia ugumu ambao wanao wanapitia kupata elimu .Kwa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUTWAA SILAHA ZINAZOMILIKIWA KINYUME CHA SHERIA KERIO VALLEY.
Wito umetolewa kwa serikali kuendesha oparesheni ya kuondoa silaha zinazomilikiwa kinyume cha sheria miongoni mwa raia katika bonde la Kerio hasa eneo la Chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot […]
Top News









