Author: Charles Adika
-
-
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUUNGA MKONO CHAMA CHA KANU.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametoa wito kwa wakazi wa kaunti hii kuunga mkono kikamilifu chama cha KANU kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Akizungumza baada ya […]
-
MSHUKIWA WA MAUAJI AJIWASILISHA KITUO CHA POLISI KAPENGURIA.
Maafisa wa upelelezi katika kituo cha polisi cha kapenguria kaunti hii ya pokot magharibi wanatarajiwa kumfungulia mashtaka ya mauaji jamaa mmoja ambaye amejiwasilisha jana katika kituo hicho akidai kumuua mpenziwe.Inaarifiwa […]
-
UKEKETAJI WAPUNGUA SIGOR
Visa vya ukeketaji wa watoto wa kike eneo la Sigor kaunti hii ya Pokot magharibi vimepungua pakubwa hali ambayo imechangiwa na uhamasisho dhidi ya tamaduni hiyo ambayo inatolewa katika shule […]
-
MASKWOTA CHEPCHOINA WATAKA MAKAO YA KUDUMU.
Maskwota wanaoishi kwenye ardhi yenye utata ya Chepchoina katika kaunti ya Trans nzoia wamemwomba rais Uhuru Kenyatta kuwapa makao ya kudumu kabla ya kukamilika muhula wake mwaka ujao.Maskwota hao wengi […]
-
-
-
Top News








