Author: Charles Adika
-
WAKENYA WASHAURIWA KUJITOKEZA ILIKUJISAJILI KUWA WAPIGA KURA
Viongozi mbalimbali wanazidi kuwasihi wakenya kujitokeza ndani ya siku thelathini zilizotolewa kusajiliwa kuwa wapiga kura katika kaunti ya Uasingishu.Wanasiasa hao akiwemo Jackson Mandago ambaye ni gavana wanaendeleza wito huo.Wakizungumza na […]
-
SERIKALI YAHIMIZWA KUWAPA VIJANA VITAMBULISHO
Viongozi wa vyama tofauti vya kisiasa katika kaunti ya Kakamega wanaitaka serkali kupitia idara ya usajili wa watu kuhakikisha imeweka mikakati ya kuwapa watu Vitambulisho vya kitaifa ambayo imeripotiwa kurundika […]
-
MWANAMME MMOJA APATIKANA NA BASTOLA BILA RISASI LIKUYANI
Maafisa wa Polisi katika kaunti ndogo ya likuyani wanamzuilia mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka ishirini na minne baada ya kupatikana na bastola katika kijiji cha kongoni.Akidhibitisha kisa hiki kinara […]
-
-
-
-
VIONGOZI WATAKA MTAALA WA CBC KUANGAZIWA KWANZA POKOT MAGHARIBI
Itakuwa vigumu kwa mtaala mpya wa elimu CBC kutekelezwa kwa ufanisi katika kaunti hii ya Pokot magharibi iwapo changamoto zinazoambatana na utekelezwaji wa mtaala huo hazitashughulikiwa kabla ya kutekelezwa.Akizungumza na […]
-
VIJANA WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI ILIKUJISAJILI KAMA WAPIGA KURA TRANSNZOIA
Huku tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka nchini iebc ikianza zoezi la kuwasajili wa wapiga kura kote nchini hii leoMbunge wa kaunti ya transnzoia Bi Janet Nagambo amewarai […]
-
-
Top News







