Author: Charles Adika
-
ODM POKOT MAGHARIBI YATETEA MWAFAKA BAINA YA KENYATTA NA RAILA.
Na Benson AswaniChama cha ODM katika kaunti hii ya Pokot magharibi kimetetea mwafaka baina ya kinara wa chama hicho Raila Odinga na rais Uhuru Kenyatta.Akizungumza katika mahojiano na kituo hiki […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUKUMBATIA VYUO VYA KIUFUNDI.
Na Benson AswaniWazazi kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuhakikisha kuwa wanao ambao walifanya mtihani wa kidato cha nne na hawakufanikiwa kujiunga na vyuo vikuu wanajiunga na vyuo vya kiufundi […]
-
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATAKIWA KUELEZA HATIMA YA WANAFUNZI WANAOSOMEA NJE YA KAUNTI HII KUHUSU SWALA LA BASARI.
Na Benson AswaniBaadhi ya wazazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia kukosa fedha za basari kwa ajili ya karo ya wanao hasa wanaosomea nje ya kaunti hii ya Pokot […]
-
WATUMISHI WA UMMA WASTAAFU WATAKA KUJUMUISHWA KATIKA SHUGHULI ZINAZOHUSU UMMA.
Na Benson AswaniWatumishi wa umma waliostaafu katika kaunti hii ya Pokot magharibi wanaitaka serikali kutowatenga katika shughuli ya kuwahusisha wananchi katika maswala mbali mbali ambayo yanatekelezwa na serikali na ambayo […]
-
WADAU WA MICHEZO TRANS NZOIA WAUNGA MKONO CBC.
Na Benson AswaniWashikadau katika sekta ya michezo wanaunga mkono mtaala mpya wa CBC kwa kutilia maanani ukuzaji wa vipaji miongoni mwa wanafunzi shuleni badala ya kutegemea masomo ya nadharia pekee.Akihutubu […]
-
NANOK APUUZA RIPOTI ZA KUWEPO BAA LA NJAA TURKANA.
Na Benson AswaniGavana wa kaunti ya Turkana Josephat Nanok amepuuzilia mbali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari kuwa baa la njaa linakumba kaunti ya Turkana na kuwa familia nyingi […]
-
-
-
Top News








